Kukodi kijiko/greda

Kukodi kijiko/greda

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,596
Reaction score
3,442
natafuta kijiko au greda la kukodi la bei nafuu,kuna shimo kubwa karibu na nyumba yangu,nataka kulifukia kwa matakataka,yapo jirani na shimo,eneo ni kilungule -mbagala,namba zangu 0784790629/0716328890,,naomba msaada kwa anaejua.kilungule jirani na kanisa katoliki.
 
Kusukumizia takataka kwenye shimo?

Unanilipa shilingi ngapi?
 
VP mkuu ulifanikiwa nimepita Leo hapo kanisa katoliki kuna dampo hapo n eneo hilo unapotaka kufanya hyo kaz au kuna jamaa yangu anakijiko na anapafahamu hapo au n sehemu nyingine pale kwa nyuma jirani na dukani kwa mangi naona napo wanatupa taka mkuu toa ufafanuz tuongee biashara
ndiyo mkuu hapohapo,umeona nini?jinsi palivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VP mkuu ulifanikiwa nimepita Leo hapo kanisa katoliki kuna dampo hapo n eneo hilo unapotaka kufanya hyo kaz au kuna jamaa yangu anakijiko na anapafahamu hapo au n sehemu nyingine pale kwa nyuma jirani na dukani kwa mangi naona napo wanatupa taka mkuu toa ufafanuz tuongee biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu nimefanikiwa jana,kuna jamaa kaja na kijiko kamaliza kazi.
 
Back
Top Bottom