Tazama usafiri wa jiji pendwa hapa Tanzania, angalia watu wanavyopata shida,
Kwanini serikali isitangze zabuni nyingine ili kuleta ushindani katika biashara hii?
Wizara husika hawaoni kuwa...
hbr wana jamvi.
Inapendeza sana kua na acount nyingi ili kueneza mawazo yako hisia,ushauri,na elimu ulionayo juu ya hiko ukielezacho.inafaa sana watu kupata elimu kutoka kwako.kwa mwenye kujua...
Taarifa zilizozagaa mjini na kwingineko ni kwamba Gazeti la RAI Nguvu ya Hoja la leo Machi 14 limepigwa pini na wakubwa ndani ya chama cha mapinduzi lisiuzwe mitaani na kuna maagizo kuwa lichomwe...
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Simon Tyosela ameishauri serikali kuhalalisha biashara ya akina dada wanaoujiuza, maarufu machangudoa.
Amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kwa...
Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.
Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa...
Watu watatu wanadaiwa kupoteza maisha papo hapo na mmoja akiwa mahututi baada ya lori la mchanga lililokuwa likitokea Mkuranga Mkoani Pwani kuligonga gari aina ya Suzuki Carry lililokuwa likitokea...
UJUMBE KUTOKA KWA KOCHA DR. MAKIRITA AMANI*l
Rafiki yangu mpendwa
Mafanikio kwenye maisha yako siyo matokeo bali ni mchakato, siyo mwisho wa safari, bali ni safari yenyewe.
Wengi wanaofanikiwa...
Check haya matokeo ya course works za hawa vijana wa mwaka wa kwanza pale udbs uone jinsi hiki chuo kikongwe kinavyotumika kuharibu future za wadogo zetu.hizi ni course works za accounting na...
Nimefika pale Magufuli Hostel last weekend kumsabahi bwana mdogo nikasikitika kuona idadi kubwa ya wanafunzi wanaanika nguo chini.
Hiki ni kitu kidogo sana, hebu utawala mfix for the sake of afya...
Taarifa za kukamatwa Mwandishi Basil Elias
Waandishi wa Habari Arusha wameandamana hadi Makao Makuu ya Polisi kwa kile walichokidai kuachiliwa kwa mwandishi Basil Elias anayeshikiliwa kwa makosa...
Chanzo chako cha pesa ndiyo mtaji wako
Ili mzunguko uwe vizur usitumie pesa ya mtaji mfano mshahara tumia mshahara kuanzisha biashara ili faida inunue vitu vingne tujiepushe na liabilities kwa...
Wakuu habar zenu wakubwa na wadogo,
Kama nilivyoeleza hapo juu imepita miezi mitatu sasa tangu nilipouziwa kiwanja na dalali, kutokana na mishe za hapa na pale sikuwai kutembelea mazingira ya...
Wana jukwaa habari ya asubuhi, kama kichwa kinavyojieleza.
Naomba kwa mwana Jf yeyote ambaye anajua hiki kiwanda kilipo naomba msaada wa kuelekezwa. Hiki ni kiwanda kinachotengeneza pombe zenye...
Habarini wanajamvi….. kwanza poleni na utafutaji wa pesa japo hali kidogo inahitaji kuvaa kiatu maana sendo haziwezi mziki huu, ninashida ya kufahamu utaratibu wa kupata mkopo kupitia mfuko wa...
Wakuu salama? Nadhani muwazima, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekua nikijiuliza maswali mengi kuhusu dini zetu hapa duniani na sijawahi pata majibu, sasa nimeamua kuleta suala hili...
Habari ndugu zangu
Samahani kwa nitaowakwaza,kwa muda kidogo nimekua nikikutana na nyuzi za watu au stori za watu wakieleza walivyoenda ulaya na nimekua navutiwa nazo na kwa bahati mbaya nilikua...
Kuanika hadharani madhaifu ya Bosi wako, kisha utegemee akulipe stahiki zako
Inahitaji Roho ya kiongozi aliyejikana na Mnyenyekevu na mwenye kutii sheria.
Unapokata Tawi ulilokalia ni sawasawa...
Heshima kwenu wakuu,naomba kufahamishwa kidogo, passport yangu ni zile za zamani muda wake unakwisha 2021,ila jina langu nilikosea kidogo kwenye sirname,taratibu za kubadili jina ziko vipi pia...
Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere.
Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice...
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi, Kampuni ya Fastjet imewatangazia wafanyakazi wake kuwa haitakuwa na uwezo wa kulipa mishahara ya mwezi February mwaka huu.
Pamoja na hilo pia, haitakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.