Nasikitika kuona amana hospital inayojulikana lakini inausumbufu sana pale inapofika mda wa kuona wagonjwa .mda ukifika mnaingia lakini mbele huko wodini unakutana na
askari wanaolinda wanawazuia kuona wagonjwa nje ya wodi hasa wodi ya watoto kweli ni usumbufu tubadilike