JPM kiboko, walinzi wa kampuni binafsi wengi wana shahada ya kwanza na wengine ya pili licha ya maslahi ndogo. Sasa kuchagua kazi hakupo tena.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,599
2,000
Binafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya.
Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida. Nilipomwoji anajisikiaje kulipwa 300,000 na elimu yake akasema sasa afanyeje ? Yeye ni dog handler kaniambia kuna wengine wana elimu kama au zaidi yake wanalipwa 280,000 take home, tena wako wengi.
Magufuli kaondoa ujinga na mazoea kwa watu wengi, naamini watu wengi watafunguka akili zaidi na kujitafutia njia mbadala za kujiingizia kipato zaidi ya kile ambacho angekipata kama angeajiriwa.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
5,359
2,000
Yaani unatoa pongezi kwa kiongozi kwa sababu ameshindwa kutumia vizuri raslimali watu kwa maendeleo ya Taifa lake! Kwa hali hii sidhani kama huo uchumi wa kati tutaufikia ifikapo hiyo 2025.

Nchi za wenzetu wanatumia vizuri raslimali watu na maliasili zao vizuri kwa maendeleo ya nchi zao; sisi huku tunafurahia kushindwa kwetu!! Hakika tutakua tumerogwa. Si bure aisee.
 
LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,436
2,000
Binafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya.
Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida. Nilipomwoji anajisikiaje kulipwa 300,000 na elimu yake akasema sasa afanyeje ? Yeye ni dog handler kaniambia kuna wengine wana elimu kama au zaidi yake wanalipwa 280,000 take home, tena wako wengi.
Magufuli kaondoa ujinga na mazoea kwa watu wengi, naamini watu wengi watafunguka akili zaidi na kujitafutia njia mbadala za kujiingizia kipato zaidi ya kile ambacho angekipata kama angeajiriwa.
Wajinga kama nyie ndio mnaona dili wasomi na kulipwa mishahara midogo yani unaona magufuli jembe kwa kuuwa ajira na watu kulipwa mishahara midogo

Nyie ndio makapuku wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,592
2,000
sasa hilo ni jambo la kufurahisha au kusikitisha?? siku sio nyingi mtamsifu kwa ufisadi wake wa kimyakimya, utasikia "mukulu kiboko, yaani aligawa nyumba za serikali kama peremende!".
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,562
2,000
Wanapasha viporo vya ghazabu wafyatuka hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hujiulizi; Mtu kapiga umande miaka isopungua 17 halafu aje kumlinda Kibajaji au Msukuma STD 7. Yeye kalala ndani huyu msomi yuko nje anapigwa baridi?? Sijamchongea mtu hao waheshimiwa wasijenikalia kooni bali nimewatoa mifano kwani wao ndio hutuambia kisomo chao.
 
sodoliki

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,596
2,000
Binafsi mimi si mshabiki wa Magufuli 100% ila kuna wakati namuunga mkono 100% kwa maamuzi anayoyafanya.
Kuna mjamaa yangu ana bachelor ya sheria yuko kampuni ya Warrior kama mlinzi wa kawaida. Nilipomwoji anajisikiaje kulipwa 300,000 na elimu yake akasema sasa afanyeje ? Yeye ni dog handler kaniambia kuna wengine wana elimu kama au zaidi yake wanalipwa 280,000 take home, tena wako wengi.
Magufuli kaondoa ujinga na mazoea kwa watu wengi, naamini watu wengi watafunguka akili zaidi na kujitafutia njia mbadala za kujiingizia kipato zaidi ya kile ambacho angekipata kama angeajiriwa.
Hiyo siyo sifa , mpumbavu wewe, hiyo ni dalili watu wenye dhamana wameshindwa kutengeneza ajira, kipimo cha uongozi ni hicho, ukiona mtoto ana shahada na anafanya kazi ya ulinzi ujue nchi nzima inapoteza, kwanza mkopo wa chuo hatalipa, pili umepoteza nguvu kubwa kumsomesha na anafanya kazi amabayo haina hata elimu, tatu, hujui kwao wako vipi, wengine wana wazazi wajane nk. Kwa hiyo usitumie upumbavu wako kuwakejeli watu wenye shida na hawana mamalka kujadili future yao, mfyuuuuuuuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom