Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo kwenye barabara ya Moshi Arusha eneo la Mount Meru hotel askari polisi wa barabarani wakiwa wamevaa kiraia waliweka kifaa kama camera barabarani na kila gari ilikuwa lazima ipite pembeni ya...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Fahamu aina tatu za panya waishio ndani ya nyumba kwa faida ya familia nyumbani pengine hata kujiongezea kitoweo kama ijulikanavyo nyama imepanda bei.. Aina za panya; 1. Panya wanaokula mazao ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kutoa pongezi kwa kituo chetu pendwa cha TBC1 kwa kujaribu na kujitahidi kwa viwango vya chini kabisa kama si sana kutoa habari za wapinzani zenye muelekeo chanya. Jana nilikuwa napata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwalimu James mwanginde ambaye alikuwa mwalimu shule ya sekondari ilunga mbalizi mbeya na baadae kwenda Udom Amepata ajari Leo chimala Mbeya na kupoteza maisha hapohapo akitokea morogoro huku...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Jamani naomaba kuuliza kama nataka kupanga kwenye nyumba za national house mchakato wake unakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari? Je ni sehemu gani Singida mjini nitapata kuku choma safi kwa bei nzuri? Natanguliza shukrani. decomm!
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Juzi ijumaa nilikutana na mtoto mkali kwenye club tukakubaliana kwamba Jumamosi aje kunitembelea. Sasa kuanzia saa saba Jumamosi nikaanza kutumika imenitoka Tsh. 60,000 kuanzia vinywaji, nyama...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Inasemekana uchawi wa kutisha unahistoria ndefu Africa na ulikuwepo enzi na enzi hadi sasa inasemekana bado uchawi upo. Lakini tukirudi katika enzi za mababu zetu kipindi ambacho wakoloni wanaanza...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Lengo la uzi huu ni kupiga kelele kwa Serikali kiziwi kuhusu suala la usafiri wa mwendokasi. Hapo awali yale mabasi yalipoanza kufanya kazi kiukweli ilikuwa ni suluhisho sahihi sana yalikuwa...
2 Reactions
1 Replies
881 Views
Leo nimeona nimekuwa expert member yaani from senior to exp member. Im a mega bass now sio wa mchezo mchezo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mchana huu nyumba imeteketea kwa moto huku Saku mbagala mida ya Mchana yaaani mpaka gari la Zimamoto linafika Eneo la ajali nyumba ilikwisha teketea yote,lakini cha kushangaza ni lini huduma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mtusaidie sisi vijana wa 90s . Huyu jamaa alihusishwa na mabilioni, sijui alikwapua benki au vipi? Nilikuwa nasikia sikia tu story zake . Pasco Na wengine ,mtujuze profile ya huyu jamaa...
8 Reactions
186 Replies
59K Views
Je, unahisi ratiba yako ina mambo mengi sana? ikiwa ndivyo hauko peke yako. "kila mahali, kila mtu anaonekana kuwa na shuguli nyingi sana." ikiwa tuna kawaida ya kujitahidi kufanya mengi kuliko...
1 Reactions
0 Replies
968 Views
Kila baada ya lisaa kunitumia matangazo ya biashara kwenye simu yangu ambayo sina habari nayo Namba yangu ya simu wanaifanya kuwa sehemu ya kutangazia matangazo bure wakati makampuni husika wao...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
habari wadau.. hivi hii hali ya mwendokasi.. Rais haioni kweli.. Watu wanaotumia haya ma bus wana teseka sana Rais najua una kazi nyingi... na ni mzalendo wa kweli.. please vunja mwendo kasi hii
9 Reactions
74 Replies
7K Views
Habari zenu wadau, Ningeomba tupeane fikra kwa hoja zilizo shiba juu ya hii mada ili walau tujitanue kimawazo. Kuna siku katika pitapita zangu niliona vijana wakibishana juu ya hizi dhana mbili...
2 Reactions
115 Replies
15K Views
Kuna vitu vingi vya kushangaza lakini vipo pia vinavyoonekana ni vya kawaida lakini vinashangaza kutokana na matumizi yake. Naomba nieleweke mapema kuwa sipingi suala la masihara ila ninachokiona...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wale wenye tabia kama ya Mbuni kufukia kichwa chini wakati mwili wote unaonekana, bandiko hili haliwahusu. Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya ni kwamba hapa Tanzania kuna watu wana tabia ya...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Mwanamke anayetimiza wajibu wake akitetea haki yake watu hawashangai na asipotimiza wajibu wake anahesabika kama mwanamke mkorofi. Hii ni kauli ya Bi. Ziwena Omary Katibu Tawala wa Wilaya ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…