Salt Bae
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 140
- 196
Leo kwenye barabara ya Moshi Arusha eneo la Mount Meru hotel askari polisi wa barabarani wakiwa wamevaa kiraia waliweka kifaa kama camera barabarani na kila gari ilikuwa lazima ipite pembeni ya camera hiyo.
Mwenye uelewa wa icho kifaa anieleweshe kinafanya kazi gani
Mwenye uelewa wa icho kifaa anieleweshe kinafanya kazi gani