Je,wamasai wauza dawa za mitishamba mabarabarami kwenye miji na majiji hapa nchini wanavibali?

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Salam wanajanvi, Naomba tusaidiane uelewa na kushare maarifa juu ya hawa watu ambao naamini wengine sio Masai,wanazunguka katika miji mingi wakiwa na mifuko imejaa dawa na nyigine wakiwa wamebeba kwamkono.Je wanapewa vibali na nani? Na nani anathibitisha ubora wa dawa zao?
 
ukishapata kitambulisho unaweza kuuza ata sumu ya panya
Salam wanajanvi, Naomba tusaidiane uelewa na kushare maarifa juu ya hawa watu ambao naamini wengine sio Masai,wanazunguka katika miji mingi wakiwa na mifuko imejaa dawa na nyigine wakiwa wamebeba kwamkono.Je wanapewa vibali na nani? Na nani anathibitisha ubora wa dawa zao?
 
Jambo moja linalonishangaza wanaacha wagonjwa mahospitalini wanaohitaji dawa wanazunguka kwenye mabaa na mitaani ambabo wamesheheni watu wenye siha njema
 
Wale watu wanafurahisha wao wanauza dawa ya kila ugonjwa utakao taja wewe unaumwa na dawa haibadiriki

Sema wengi wao wauni tu ...jamaa zangu waliwai kutana nao usiku manzese tunaelekea sinza wakaomba dawa wakafanye fidia ya pesa yao sinza mori ..daah wakapimiwa kufika eneno la tukio watu wamepewa viungo vya pilau
 
Hebu tuelimishane. Mtu akiwa na dawa kama hizo anatakiwa kufuata utaratibu upi rasmi unaokubalika hatua kwa hatua ili aweze kuziuza bila mizengwe?
 
Salam wanajanvi, Naomba tusaidiane uelewa na kushare maarifa juu ya hawa watu ambao naamini wengine sio Masai,wanazunguka katika miji mingi wakiwa na mifuko imejaa dawa na nyigine wakiwa wamebeba kwamkono.Je wanapewa vibali na nani? Na nani anathibitisha ubora wa dawa zao?

ACHILIA MBALI VIBALI ,

JE WAMELIPIA VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA?
 
Ila Waziri wa Afya anapaswa kulifanyia kazi hili.Watu wanalishwa mizizi na mijusi mpaka wanakuwa machizi, kwanini dawa ziuzwe kama matunda, na hizo za nguvu za kiume nani kathibitisha kuwa ni boraaa na zinafaa
 
Jambo moja linalonishangaza wanaacha wagonjwa mahospitalini wanaohitaji dawa wanazunguka kwenye mabaa na mitaani ambabo wamesheheni watu wenye siha njema

Mgonjwa wa alielazwa Amana Au Bugando Au KCMC mahitaji yake sio kupiga bao 7 bila ya kupumzika Au kuongeza Ukubwa wa Nyeti Kuwa Kama chupa ya Uhai ya TSh mia Tano

Hao ndio Wagonjwa wa Wamasai wanatafutwa BaR
 
Back
Top Bottom