Njiapanda ya Kawe na Darajani Bondeni...

Njiapanda ya Kawe na Darajani Bondeni...

Msengi Kiula

Senior Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
167
Reaction score
63
Kongole!!
Kivuko cha watembea miguu(flaiova) kinafanya kazi...

Seng'enge imeshawekwa,kwa hiyo hakuna mtu wa kukatiza. Alama za pundamilia hazipo...

Kamera ya Police pale darajani ya nini ? Tukifika hapo inakuwa single lane!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kaflaiova kamesaidia sana kongole kwa serikali.Kabla hali ilikuwa tete asubuhi wanafunzi na sie malofa tunataka vuka kwenda kupanda daladala wenzetu wenye magari hawasimami nasi tuvuke labda awepo trafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom