Wastarabu wengi wanapatikana mikoa hii Tanzania

Labda ustaarabu wa kufuga ndevu na kuvaa vipedo

Miji kama Iringa na Moshi, ambayo ilitajwa kuongoza kwa usafi Tanzania hujaitaja.
Umetaja eti sijui Lindi, Tanga, sehemu ambazo hadi karne hii Serikali inawalazimisha wajenge vyoo la sivyo watawatoza faini ama watawafunga..

Nyie watwana wa kiarabu bana
 
Hata mimi sio mstaarabu, sababu ukinikanyaga bahati mbaya nakupa mgumi wa makusudi,kwahiyo kwangu ustaarabu ni zero.

Ndio maana mkoa wangu haupo.
 
Ni juz tu hapa kuna MTU kaleta mada hapa akiwaelezea watu wa kigoma hasa pale wanaposafir juu ya utaarabu wao lakn pia kuna mkuu mwingne akaelezea watu was kibondo juu ya utupaji wa taka hovyo je mtoa mada huo ndi ustaarabu wa watu wa kigoma hebu dadavua kuhusu hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom