Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Atiwa Mbaroni Tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Atiwa Mbaroni Tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by major mkandala, Mar 23, 2010.

 1. m

  major mkandala Member

  #1
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Atiwa Mbaroni Tena
  [​IMG]
  Caroline Cartwright na mumewe SteveTuesday, March 23, 2010 1:52 AM
  Mwanamke wa nchini Uingereza ambaye alishawahi kufikishwa mahakamani kutokana na makelele yake ya kimahaba anayoyatoa wakati akifanya mapenzi na mumewe ametiwa tena mbaroni kwa mara nyingine baada ya kuwasumbua tena majirani zake kwa kelele zake za ngono.Caroline Cartwright alifikishwa mahakamani wiki nane zilizopita kwa kuvunja amri ya mahakama ya kutowasumbua tena majirani zake kwa kelele zake za ngono anapofanya mapenzi na mumewe, Steve.

  Caroline mwenye umri wa miaka 49 alihukumiwa kifungo cha nje wakati huo na kuamuriwa aache kupiga kelele wakati wa tendo la ndoa na mumewe.

  Lakini wiki iliyopita Caroline alitiwa tena mbaroni kwa kuwasumbua majirani zake na kelele za ngono kwenye majira ya saa nne asubuhi ya siku ya jumapili.

  "Ilikuwa ni dakika 10 tu sio masaa mawili kama kawaida yetu, iweje majirani wametusikia wakati kitanda tulikiamshia chumba cha chini na sio chumbani", alilalamika Caroline.

  Mwaka jana Caroline kutokana na kosa kama hili alihukumiwa kifungo cha nje cha miezi 12 na kuamuriwa asitoe kelele tena wakati akifanya mapenzi kwenye maeneo yoyote ya nchini Uingereza na Wales.

  Mahakama ilisikilizishwa sauti anazotoa bi Caroline Cartwright wakati akifanya mapenzi na mumewe Steve Cartwright na kuungana na madai ya majirani wa mtaa wake ambao walisema kuwa kelele zake huwakosesha usingizi kwani ni sawa na kelele za mtu aliyekuwa kwenye maumivu makali sana wakati akijeruhiwa au kutolewa roho.

  Ilidaiwa pia kuwa hata jirani yake mmoja ambaye ni nusu kiziwi hukosoka usingizi kelele hizo zinapoanza.

  "Sauti anazotoa Caroline na miungurumo ya mumewe Steve si za asili ni kama vile wote wawili wapo kwenye maumivu makali sana", mahakama iliambiwa katika kesi yake ya awali.

  Caroline atafikishwa tena mahakamani mei 13.

  GONGA LIFE STYLE pembeni kushoto kwa habari za kesi za awali za kelele za Caroline.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Duh inaelekea demu anausikilizia si utani
   
 3. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tusaidieni hizo sheria zije na China. Hawa jamaa ovyo sana kwani wake zao wanalia sana usiku. Utasikia kelele kila kona hasa usiku wa kuanzia saa 6.
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha
   
 5. m

  major mkandala Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zingine zinakuw za malaika best mtake radhi mungu
  kama hizo hizo
   
 6. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Waache watu wajilie vyao kwa uhuru mkuu, kama wanakuboa sana na wewe tafuta mwanamke wa kichina awe anapiga kelele kama hao ngoma iwe droo.
   
 7. Thegreatcardina

  Thegreatcardina JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 396
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  hahaaaaa. si waje huku bongo waone vilio
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hilo jimama lina kiranga..lol
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kua uyaone ..dunia ina mambo
   
 10. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makubwa.
   
Loading...