Madaktari uchwara/ clinical officers mnaua sana watu,Serikali chunguzeni hawa

chilonge

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
856
1,000
What if kama alishauriwa aende kwenye hospitali kubwa akarefuse? Je umepata maelezo ya upande wa pili?
Sikatai,hilo linaweza kutokea ila wakati mwingine wagonjwa wanajisababishia matatizo kwa ubishi na ujuaji wao.
 

Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,108
2,000
Na kweli,.watu wengi bongo wanakufa kwa uzembe wa watoa huduma ya afya,.na wengi wao hawana wito kabisaa+elimu zao za kuunga kuunga na superglue basi vilio kila siku..
 

mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,757
2,000
30 Dec 2018 mtoto alipelekwa kituo cha afya daktar akamchek akasema ameishiwa dam nikapigiwa sim nikaenda et daktar akasema tumpatie elfu 5t tsh akanunue dawa za kumpa mtoto zinazoongeza dam mim nikataka mtoto apewe rufaa twende hosp haraka Dr. akasema mzaz mwenzang na mama yake wakasema itolewe hela nikaona isiwe kesi nikatoa hiyo 55 Dr. akanianbia nisiwe na waswas niendelee tu na shughuli zangu. Sadly baada kama ya masaa manne napigiwa simu mtoto amefariki kabla hata ya kupewa hizo dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
4,273
2,000
Watanzania vipi ? Hata muuza dawa (duka muhimu ) anaitwa "doctor " . Hata mwenye degree ya kwanza ni ' medical officer ' Nikisikia neno doctor huwa ninauliza degree ya tatu (fani ileile ) amesomea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,598
2,000
ukisikia elimu mbovu huko chini basi mwisho wa siku ndio matunda yake hayo.
 

GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,482
2,000
Tatizo la nchi yetu watu kulalamika sana,anayelalamika ana madudu kibao pengine ndiye mwizi wa mtaa.

Mimi nimeshuhudia mgonjwa anataka arudi nyumbani ilihali daktari anamwambia hali yake sio ya kukaa nyumbani.

Pili wengi wetu tunapenda urahisi,badala ya kwenda hospitali kubwa kuanzia ngazi ya kituo cha afya unaenda dispensary sababu ipo karibu wakati inaeleweka miundombinu hairuhusu kulazwa mgonjwa.

Madaktari wanajitahidi sana kuokoa roho za watanzani,wanapofanya mazuri msisahau kuanzisha humu uzi wa kuwasifia. Muda huu kuna madaktari wapo hospitali wanapambana kadri walivyojaaliwa panapo mapungufu tusione hawafai.

Afya ni gharama jamani hili tulijue,ukitaja tiba njema ili usilalamike zipo hizo hospitali za private,kama huna bima ya afya utatoboka haswa. Hospitali zetu za serikali changamoto kibao kuanzia malipo mpaka miundombinu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bu'yaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,309
2,000
Wakuu,vifo vingi ukichunguza kiundan,ni uzembe wa hali ya juu,sana sana hivi vi-dispensary mitaani vinaua sana watu kwa utatibu mbovu.

Mtu unampima sukari imefika 24 unamruhusu aende home afanye diet pumbavu

Nchi zingne ni jela tuu

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
sio vi dispensary vya mtaani tu, unachemka
 

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
5,323
2,000
Mkuu umaskini ndio tatizo

Acha tuendelee hvo tu,
Tufe tufe tu mi nataman nusu wafe kabisa watu wabak wachache tanzania, nahis labda ndio tutapata maendeleo kwa kila mmoja.
Nchi zingine ukienda duka la dawa hata kama unaumwa vipi, kama hauna prescription ya drm huuziwi dawa. Leo nenda dawa la duka lolote mwambie nipe alu hata hakuulizi anachomoa anakupa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,169
2,000
sasa wewe consultant physician baada ya kugundua hilo si ungemfuata huyo daktari uchwara atolee maelezo kama sio kumshtaki ili uwe umesaidia wengi, maana hapa sidhani hata kama italeta positive impact yoyote, na utakuwa haujasaidia chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hanitoni

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
1,152
2,000
Tatizo sio waaguzi tatizo ni vifaa miundo mbinu, na dawa pia umaskini.tatizo hata wagonjwa nao tunasababisha.mfano mm nikijisikia vbaya naenda duka la dawa bila ya hata kupima namwambia dokta nipe dawa hii na hii ananiambia nikapime naanza kumbishia na hata kumtukana daah unakuta anakupa tuu dawa sababu hata na yy anafanya biashara aishi ndoivo mwisho wa siku ni kuziwa na hata kudanchi kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

tchaot

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
263
500
Watanzania vipi ? Hata muuza dawa (duka muhimu ) anaitwa "doctor " . Hata mwenye degree ya kwanza ni ' medical officer ' Nikisikia neno doctor huwa ninauliza degree ya tatu (fani ileile ) amesomea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Doctor of Medicine(M.D), Doctor of Dental Surgery(D.D.S) , Doctor of Philosophy (PhD) ,Doctor of Science, (Honorary.Doctorate) wanaotunuku wanajua vigezo,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom