Kuweni Makini Na Tigopesa, Utapeli wa Kimfumo Upo

Andres

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
501
791
Leo mida ya jioni, mishale ya saa mbili usiku nimewasha simu baada ya kuwa imezima chaji tangu mchana.

Nimewasha simu nashangaa inaingia meseji ya TigoPesa kwamba nimefanikiwa kutuma pesa kiasi cha 49,600 Tsh na simu yangu ilikuwa na Tsh 50,000. Simu niko nayo mimi mwenyewe nyumbani, and I was alone during that time. Kwakweli nilikuwa najua kwamba tigo ni wezi kwa mambo ya vocha nk lakini sikujua kwamba wamefikia huku, mpaka tigopesa sasa wanaiba !!!
Kesho nawafuata, maana nimewapigia hawajanipa msaada wowote.. Hili suala mpaka kieleweke, hata ikibidi niende polisi ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom