Rais Magufuli ateua Posta Masta Mkuu

Rais Magufuli ateua Posta Masta Mkuu

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
IMG_20190319_171132.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Bw. Hassan Abeid Mwang’ombe kuwa PostaMasta Mkuu.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Bw. Mwang’ombe umeanza tarehe 12 Machi, 2019.

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Mwang’ombe alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
 
Hongera kwa mteuliwa.
 
1553010065947.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Hassan Abeid Mwang'ombe kuwa PostaMasta Mkuu.
 
..hakuna namna nyingine ya kuteua posta masta mkuu zaidi ya kusubiri uteuzi wa Raisi?

..Je, nafasi hiyo ni nyeti kiasi kwamba lazima uteuzi ufanywe na Raisi na amiri jeshi mkuu?
 
Kumbe bado ajahamia dodoma tu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
..hakuna namna nyingine ya kuteua posta masta mkuu zaidi ya kusubiri uteuzi wa Raisi?

..Je, nafasi hiyo ni nyeti kiasi kwamba lazima uteuzi ufanywe na Raisi na amiri jeshi mkuu?
"If it works I will make sure you become the postmaster general" Harrison Ford kama Rais wa USA on board Air Force One akimpromise karani kibonge nyanya kwa kufanikisha kutuma fax kijanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwake

Waboreshe mitandao yao tujue kila huduma inayotolewa na bei zake.. pia maelezo yote muhimu tunayotaka kuyajua wateja wao..

Waaevu muda wa wananchi na pesa juu za kusaka kujua ya wao
 
Back
Top Bottom