Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekuwa na kauli za viongozi na watunga sera za mara kwa mara zikiwataka vijana wa Kitanzania kujiajiri wenyewe badala ya kusubiri kuajiriwa,Kwanza nina wasiwasi na kiasi cha takwimu za vijana...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria.. Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au...
31 Reactions
285 Replies
24K Views
Kesi ya uhujumu uchumi namba 3 ya mwaka 2019 ya utoroshaji wa madini ya dhahabu bado inaendelea katika Mahakama ya hakimu mkazi Mwanza ambapo wafanyabiashara wa madini wamekiri makosa yao huku...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wamiliki wa simu zinazotumia programu endeshi ya simu aina ya Series 40 wamekuwa hawawezi tena kutumia mtandao wa WhatsApp kwenye simu zao. Hiyo imetokana na uamuzi wa kampuni ya Facebook...
5 Reactions
29 Replies
8K Views
Nimejiuliza swali hili lakini bado majibu hayajitoshelezi. Jeshi la Polisi hawawezi kuwadhibiti wana CAF ambao Ni wavamizi wa mkutano wa ACT Wazalendo? Udhaifu huu wa Jeshi la Polisi umeanza...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
KATIBU WA ZAMANI WA SIMBA HASANOO KORTIN KWA WIZI WA PEMBE ZA NDOVU Mtuhumiwa namba moja wa biashara haramu ya kusafirisha na kuuza nyara za serikali,Pembe za ndovu,Hong Kong ChinaKatibu wa...
1 Reactions
34 Replies
11K Views
Hii ni Familia inayopatikana nchini Uturuki ambayo hutembea kwa kutumia miguu na mikono kwa pamoja tofauti na Watu wengine, Wanasayansi wanadai Familia hii inasumbuliwa na tatizo linalowafanya...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
1. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka Kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wakiwa wanaingia Darasani wao sasa ndiyo Wawe wanawasalimia Wanafunzi Shikamoo. 2. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka...
13 Reactions
287 Replies
25K Views
Dunian kuna sheria na kanuni nyingi, kila jamii, taasisi,serikali n.k ina sheria zake ya kipi ni halali kufanya na kipi sio halali kufanya. Sheria na kanuni hizi zipo ili kuleta mahusiano mazuri...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Wasaalam wana JF. Nashangazwa na watu wa ardhi wa Manispaa ya Kinondoni kama walisoma vizuri mambo ya ardhi. Kuna hii barabara iliyowekwa lami kutokea External kwenda Kisukuru inayopita jeshini...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu Sunzu Mpangala mwenye umri wa miaka 27 kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumsababishia ujauzito mwanafunzi wa shule ya sekondari ya...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Ni kweli dawa za kulevya hutengenezwa na kemikali ambazo kwa matumizi mengine ni salama kwa binadamu ila kwa Upande wa pili zinaweza kutumika kama dawa za kulevya hivyo SI salama. Kuna dawa...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Msimu huu tulitarajia mvua kunyesha kwa wingi sana lakini hadi sasa mvua inanyesha kwa mafungu mafungu tu. Kuna baadhi ya watu nimekuwa nikiwasikia wakisema mvua yetu iliyopaswa kunyesha bongo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mamlaka ya hali ya hewa wamesema mvua za masika zitakuwa kidogo mwaka huu hivyo wakulima wanashauriwa kulima mazao ya muda mfupi. Source gazeti la Mtanzania
2 Reactions
76 Replies
8K Views
Nimefikiria kwa umakini sana huyu jamaa kwa sasa ni moja kati ya watu wenye ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania kupitia umiliki wa Simba sports club.. Ushawishi wake hauna hata chembe ya shaka...
0 Reactions
128 Replies
12K Views
Karibuni tujadili kwa undani Na mapana mpaka kieleweke , ni kwa nini Tanzania kuna uganga wa jadi? kwa nini Tanzania isipige marufuku shughuli zozote za uganga wa jadi? Je kuna madhara gani...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana janvi Naomba kwa anae jua hichi,mtoto anazaliwa akiwa na umri wa miezi tisa na kuendelea akisikia muziki anacheza na wakati huo hajawahi kuona tv au kuona mtu anacheza muziki.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kesi hii ilifunguliwa na Baraza la Habari la Tanzania(MCT), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) na Watetezi wa Haki za Binadamu(THRDC) Sheria inayolalamikiwa ilipitishwa na Bunge, Februari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ishi kiuhalisia endana na uhalisia wako,huenda ukweli unakuvuta ili usimame mahala ama kuonyesha uwezo lakini uhalisia ndio sehemu pekee unayoweza kuwa na amani na kutengeneza mafanikio yako...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Niende moja kwa moja katika mada.Nilitengenezewa "Power of Attorney" na mwanasheria wangu.Ikabidi niende Wizara ya Ardhi kuisajili. Nilifika pale nikalipia 53,000 kama gharama ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom