Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mfano mtu anasema Kuna joto na Kuna baridi..sio kweli,ukweli Ni kwamba kitu kinaweza Kuna na joto na kisiwe na joto.there is a light and there is no light..huo ndo ukweli vitu haviendi viwili...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Matolori ya kuuzia ice cream yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo mjini magharibi Unguja. Hivi karibuni mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Zanzibar...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani tujikumbushe kwa mliowahi kusafiri kwa treni,hizi treni zetu za dunia ya tatu..mimi ilikuwa natoka DODOMA kuelekea MWANZA,baada ya kukamilisha taratibu za tiketi ambayo nilikata wiki mbili...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katibu wa Wizara ya Afya, Prof. Muhammad Bakari Kambi amesema wizara imeruhusu matangazo hayo katika redio na runinga baada ya kurekebisha Mwongozo wa Vigezo kwa matangazo hayo Matangazo hayo na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna watu kadhaa ambao walikuwa na Tabia mbaya sana, lakini baada ya kupelekwa gerezani au Mahabusu na kukaa huko kwa muda flani, naona sasa wamekuwa na tabia njema na naona wanaanza kuwa mfano wa...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Mhariri mwandamizi wa baraza la kiswahili Tanzania (BAKITA) ndugu. Honi Sigara, kuanza kutumiwa kibiashara kwa mgongo wa taasisi hii (BAKITA) je ni sawa? Kuna tangazo moja linasikika redioni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kuendelea na Ujenzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo katika ziwa Victoria; kufikia asilimia 82 ya ujenzi wa meli moja mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 200 na...
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016. Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
This is a short unauthorised biography of a great son of Tanzania, Ruge Mutahaba. I like to start by comparing Boss Ruge, as many people used to call him, to a famous American muslc record...
8 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakuu habari za jumanne Nimewaza hii kitu,nikajiuliza ni akina nani wanahusika kuandika/ku update wikipedia? Nataka na mimi niandikwe, kwa watz naona ni watu muhimu saaaana ndo wanaandikwa,lakin...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Chukulia mfano Roli kubwa (truck) lenye uzito wa 50tons baada kusafili kutwa nzima, Roli hilo lilizimika punde baada ya kufika katikati ya daraja lenye urefu wa kilometa moja, Ikiwa daraja hilo...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Nauliza hivi kuna uwezekano wa mimi kurejesha deni la kwanza la 22.8K na kukopa 40K??. Vyuma vimebanana hatari,naomba kwa watumiaji wa tala mnipe mwanga
3 Reactions
54 Replies
10K Views
Leo naomba niwasilishe kero yangu kwa hawa jamaaa wa airtel timiza kwani wanasema unapoweka akiba katika akaunti yako unapata zawadi. ambapo zawadi yenyewe ni 5% ya kiasi ulichoweka kisha unaigawa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu wana jamii forum habarini saana. Nimekuwa nikimsikiliza muheshimiwa kabwe zuberi mara kadhaa wa kadhaa katika kipindi chake chote cha uongozi ntangu akiwa mwana chama hodari wa chama cha...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Namna ya kujenga hoja vyema:namna bora ya kuonyesha kutokubaliana na namna ya kushinda 21 Machi 2019 Je kuna namna nzuri ya kutokukubaliana hoja na watu wengine? Unaweza kuwa na hoja za kujenga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mlinzi namba1 wa mh Rais wa nchi yoyote ni first lady. Najiuliza VP anapewa training? Yeye pekee anapata nafasi ya kuwa nae wawili tu chumbani. Yeye peke yake anamuona mh akiwa amelala...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu Mwingi wa kudra na rehema zake kwetu sisi walimwengu. Baada ya kuiombea mvua kwa 'kipindi kirefu' nikajikatia tamaa na kujikuta nikijisemea, hata isiponyesha, mbona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
There was a shop raid on Tuesday, 26th March, in Nairobi’s Luthuli Avenue and the Anti-Counterfeit Authority (ACA) has managed to arrested five suspects and confiscated Ksh8 million worth of fake...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
UTANGULIZI Neno projections nitalitumia hapa nikiwa na maana ya makadirio ya baadae ya mambo mbalimbali ya kijamii na kitaifa. Jamii yoyote ama taifa lolote huhitaji kufanya projections za mambo...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Nimekuwa nikifika uwanja wa Taifa kuangalia mechi mbalimbali za Mpira wa miguu nikiwa mtazamaji mzuri kupitia jukwaa la VIP B. Kwa Mara ya kwanza jana niliona idadi ndogo Sana ya Jeshi la Polisi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom