Ilikua mida ya saa moja usiku maeneo ya kituo cha mzani kihonda, trafik walikua na Harrier nyeupe namba inaanzia T ... CK, walimfuata dereva wa lori wakamuomba leseni akawapa wakamwambie ume...
Wananchi wa Kenya wenye asili ya Somalia leo asubuhi wamefunga mpaka kwa kuchoma Matairi na kuweka vizuizi katika barabara inayoingia Tanzania na Iinayoingia Kenya Baada ya Watu wasiojulikana...
DAKTARI Barry Marshall ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Nobel aliyoipata kutokana na kugundua chanzo cha vidonda vya tumbo kwa kufanya majaribio katika mwili wake.
Wataalamu wengi wa Afya miaka...
Wakuu hizi karanga mbichi sio rafiki kwa wale walio na tabia au tatizo la kufika mapema kileleni hasa kwa wanaume.
Karanga mbichi zinasaidia kuongeza hisia zinazomfanya mtu kuwa active sana na...
Salamu,
Nawapongeza walioomba mvua juzi wakiongozwa na Mufti Mkuu. Leo tunaona inanyesha.
Siku zijazo aiombee nchi yaliyobaki kama kushinda AFCON
Kuimarika kwa shilingi
Demokrasia pana zaidi
Na...
DAR ES SALAAM: IDADI ya watu wanaotumia vipodozi hapa nchini na hasa wanawake ni kubwa na tahadhari imekuwa ikitolewa uchwao kwamba, baadhi vina madhara.
Sikio la kufa halisikii dawa! Meza...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wilaya ya Serengeti mkoani Mara imemhukumu, Choral Samson (28) mkazi wa Burunga kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mama yake mzazi Rhobi Nyang’ombe...
Bila Magufuli kuajiriwa sidhani Kama na yeye angefika sehemu nzuri na nyota yake kuonekana mpaka Sasa na kufanikiwa kufanya mambo makubwa Kama raisi..
Nashauri serikali izingatie hili kwani vijana...
Ninajiuliza sana sipati jibu. Inakuwaje usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Mirungi unafanyika mchana kweupe pasipo polisi kuchukua hatua?
Crime buster wa mkoa no RCO na amezungukwa ni...
Unajua matatizo ya Tanzania yanasababishwa na waTanzania sisi wenyewe.
Leo nimesoma alichosema Board Chairman, Ndugu Ali Mufuruki kwamba Tanzania haina mtu wa kuweza kuwa CEO wa Vodacom.
Unajua...
NAJUA utakuwa unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni nafuu zaidi na pia ni ipi yenye gharama kubwa zaidi kuishi, na ipi ina gharama ndogo zaidi.
Wataalamu wamefanya utafiti...
Habari!
Tuache masihara wakuu Tanzania watu wengi wanaishi maisha ya miaka mingi iliyopita, balance diet hawaijui na hawaipati, ukienda ndanindani huko unaweza kumwamkia mtu uliyemzidi umri...
Wapendwa mu wazima
Hivi karibuni kuna wimbi la watu ambao wana undugu sana na malaika limeibuka. Wao kucha kutwa ni kuwasimanga wanawake waliozaa bila kuolewa (singo mazas) na kuwaona hawastahili...
Kabla ya kuaga dunia 14 October 1999, mwalimu J.K. Nyerere aliusia yafuatayo:
"Najua Nitakufa, Sitapona Ugonjwa Huu...Nawaacha Watanzania Wangu, Najua Watalia Sana Nami Nitawaombea Kwa Mungu...
Katika mihangaiko yangu katika nchi mbalimbali na hapa nchini, nimeona kwa wenzetu walioendelea magari barabarani yanaongozwa na taa (traffic lights, robots) na hawana roundabout nyingi ila wana...
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchi Tanzania Mhe. Mussa Farhang akiongea katika Semina ya kuelekea Maadjimisho ya Miaka 40 ya Serikali ya Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
Habari wakuu !!
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua masharti gani ambayo Azam Tv wamepewa na mamlaka za kiserikali ili kuonesha local channels kama ITV,Channel 10,clouds Tv nk !! Ingawa lengo la...
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imerejesha zaidi ya Sh14.9 bilioni, kutaifisha nyumba saba na magari manne kutoka kwa mafisadi.
Akizungumza na waandishi wa...
Nyuki ni viumbe huru wanaoishi katika Mazingira yetu.
Nyuki hawahitaji kulishwa bali hujitafutia chakula chao na maji wao wenyewe, na wamekuwapomiaka mingi duniani bila kutegemea msaada wa...
Serikali imesema itarudisha kodi ya wanaoagiza taulo za kike endapo hawatashusha bei.
Hatua hiyo imefikiwa kutokana na wauzaji na wasambazaji wa taulo hizo kushindwa kupunguza bei zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.