Watuhumiwa wa kutorosha madini wakiri makosa yao

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,400
Kesi ya uhujumu uchumi namba 3 ya mwaka 2019 ya utoroshaji wa madini ya dhahabu bado inaendelea katika Mahakama ya hakimu mkazi Mwanza ambapo wafanyabiashara wa madini wamekiri makosa yao huku waliokuwa askari polisi wakiyakana makosa yao.

Serikali yawasilisha mahakamani madini ikiwa ni sehemu ya ushahidi katika kesi inayowakabili waliokuwa askari polisi na wafanyabiashara wa madini mkoani Mwanza inayohusiana na kutaka kutorosha madini kwenda nje ya nchi na utoaji na upokeaji wa rushwa.
 
Hakimu ameshapata mgao wake?
Kama ndiyo basi si kesi Bali ni a soft piece of cake.
Watapigwa faini ya kitoto na kuachiliwa
 
Back
Top Bottom