Orodha ya simu zitakazofungiwa Whatsapp.

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,502
23,582
Wamiliki wa simu zinazotumia programu endeshi ya simu aina ya Series 40 wamekuwa hawawezi tena kutumia mtandao wa WhatsApp kwenye simu zao.
whatsapp.jpg

Hiyo imetokana na uamuzi wa kampuni ya Facebook inayomiliki mtandao wa kijamii wa WhatsApp kuacha kutengeneza app yake kwa njia ambayo inaweza kutumiwa katika simu hizo.

Watu wengi zaidi wataathirika katika kipindi cha mwaka ujao, 1 Februari, 2020 ambapo simu nyingi zikiwemo baadhi ya iPhone zitapoteza uwezo wa kutumia WhatsApp.

Hata kabla ya wakati huo kufika, Facebook wameonya kwamba, "kwa sababu hatutakuwa tukitengeneza na kuboresha app yetu tukizizingatia, huenda baadhi ya uwezo wake ukaathirika wakati wowote".

Zitakazoathirika mwaka ujao ni za Android zinazotumia Android 2.3.7 na miundo ya awali, pamoja na iPhone zinazotumia iPhone iOS 7 na zile za chini ya hapo. Kwa sasa, mfumo huo wa Android umefikia 9.0.

Wanaotumia Android 2.3.7 kwenda nyuma hawawezi kufungua akaunti mpya za WhatsApp, ili uweze kutumia mtandao huo kwa sasa unahitajika kuwa unatumia Android 2.3.3 kwenda juu na Windows Phone 8.1 kwenda juu.

Kwa sasa, walioathirika zaidi ni wanaotumia baadhi ya simu za Nokia zinazotumia mfumo endeshi wa Series 40 ambao wakati mwingine huitwa S 40 OS. Miongoni mwa simu maarufu zilizoathirika ni Nokia 6300.

-Eatv
 
Hawa jamaa mbona wanataka kuleta shida sasa " .... huo ujinga wao hata wasithubutu kuupa ruksa " Maana utazifanya kampuni nyingine zinazo toa huduma ya kimawasiliano zenye mfanano na whatsapp ziweze kunyanyuka haraka na kuliteka soko "

Hapo sasa ndio napoiona nafasi ya telegram " na imo kuweza ku take over "kwa sababu watu wengi ambao simu zao zitakosa hiyo huduma ya whatsapp wataamua kuhamia katika makampuni mengine yanayo toa huduma hiyo "

Hii inaweza kusababisha whatsapp kuweza kupoteza ushawishi mkubwa wa kibiashara ambao wanao sasa katika jamii kwa sababu kampuni hizo (telegram 'imo zitakuwa zinatoa huduma " katika simu mbali mbali pasipo kuweka masharti kama hayo ambayo " yanatizamiwa kuwekwa na whatsapp " kwa mantiki hii ni kwamba wataweza kutoa huduma itakayo wafikia watu wengi zaidi na wao wata weza kuvuna mapato ya kutosha " ambayo yanaweza kupelekea " kulishusha soko la whatsapp kabisa "

My yake haya ni maoni yangu binafsi na maneno yangu sio sheria "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamiliki wa simu zinazotumia programu endeshi ya simu aina ya Series 40 wamekuwa hawawezi tena kutumia mtandao wa WhatsApp kwenye simu zao.View attachment 997519

Hiyo imetokana na uamuzi wa kampuni ya Facebook inayomiliki mtandao wa kijamii wa WhatsApp kuacha kutengeneza app yake kwa njia ambayo inaweza kutumiwa katika simu hizo.

Watu wengi zaidi wataathirika katika kipindi cha mwaka ujao, 1 Februari, 2020 ambapo simu nyingi zikiwemo baadhi ya iPhone zitapoteza uwezo wa kutumia WhatsApp.

Hata kabla ya wakati huo kufika, Facebook wameonya kwamba, "kwa sababu hatutakuwa tukitengeneza na kuboresha app yetu tukizizingatia, huenda baadhi ya uwezo wake ukaathirika wakati wowote".

Zitakazoathirika mwaka ujao ni za Android zinazotumia Android 2.3.7 na miundo ya awali, pamoja na iPhone zinazotumia iPhone iOS 7 na zile za chini ya hapo. Kwa sasa, mfumo huo wa Android umefikia 9.0.

Wanaotumia Android 2.3.7 kwenda nyuma hawawezi kufungua akaunti mpya za WhatsApp, ili uweze kutumia mtandao huo kwa sasa unahitajika kuwa unatumia Android 2.3.3 kwenda juu na Windows Phone 8.1 kwenda juu.

Kwa sasa, walioathirika zaidi ni wanaotumia baadhi ya simu za Nokia zinazotumia mfumo endeshi wa Series 40 ambao wakati mwingine huitwa S 40 OS. Miongoni mwa simu maarufu zilizoathirika ni Nokia 6300.

-Eatv
Izo simu zitakosa soko. Watu bado wanaihitaji whattApps. Watu wanavyokwenda kununua wanauliza hiyo simu kama ina internet, whatApps, Facebook. Ikikosekana whatsApps simu itakosa wateja. Watu wakishatangaziana kwamba hazina wahatsApps basi .watu watahitaji simu yenye what Apps. Watu Wameshazoea kufanyia umbea whatsApps na kutongozana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa mbona wanataka kuleta shida sasa " .... huo ujinga wao hata wasithubutu kuupa ruksa " Maana utazifanya kampuni nyingine zinazo toa huduma ya kimawasiliano zenye mfanano na whatsapp ziweze kunyanyuka haraka na kuliteka soko "

Hapo sasa ndio napoiona nafasi ya telegram " na imo kuweza ku take over "kwa sababu watu wengi ambao simu zao zitakosa hiyo huduma ya whatsapp wataamua kuhamia katika makampuni mengine yanayo toa huduma hiyo "

Hii inaweza kusababisha whatsapp kuweza kupoteza ushawishi mkubwa wa kibiashara ambao wanao sasa katika jamii kwa sababu kampuni hizo (telegram 'imo zitakuwa zinatoa huduma " katika simu mbali mbali pasipo kuweka masharti kama hayo ambayo " yanatizamiwa kuwekwa na whatsapp " kwa mantiki hii ni kwamba wataweza kutoa huduma itakayo wafikia watu wengi zaidi na wao wata weza kuvuna mapato ya kutosha " ambayo yanaweza kupelekea " kulishusha soko la whatsapp kabisa "

My yake haya ni maoni yangu binafsi na maneno yangu sio sheria "

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha woga jombaa simu za nokia series 40 ni za zamani na hata hizo zenye android 2.3 pia, unaweza zitafuta dukani na usizipate
Na hii makala ni mda mrefu kidogo sema mleta mada atakuwa amekutana nayo karibuni
Ukiacha nokia za series 40 na hizo za android 2.3 simu zingine zilizoathirika ni blackberry zote za zamani kasoro zinazotumia android OS, na windows 7 zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimekuelewa sasa

Ni ndoto mkubwa kwa imo wala telegram kuchukua nafasi ya WhatsApp, japo Telegram inauwezo wa kutuma mafaili makubwa sana kuliko WhatsApp.

Una habari Instagram nayo ni Facebook sasa?
 
Back
Top Bottom