Uturuki: Kutana na familia ambayo watu wake hutembea kwa miguu na mikono kwa pamoja

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
1553747409511.png

Hii ni Familia inayopatikana nchini Uturuki ambayo hutembea kwa kutumia miguu na mikono kwa pamoja tofauti na Watu wengine, Wanasayansi wanadai Familia hii inasumbuliwa na tatizo linalowafanya wakose balansi wakitembea kwa miguu peke yake hivyo kuwalazimu kutumia na mikono.
1553747463126.png

Inaelezwa kuwa familia hiyo ina Watoto watano wenye tatizo hilo na iligunduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2005 na cha kushangaza zaidi ni kwamba Wazazi wa Watoto hao hawana kabisa tatizo hilo hivyo wao hutembea kawaida kama Binadamu wengine.
1553747483201.png

Wanasayansi wanasema tatizo hilo hushambulia sehemu ya ubongo inayohimili balansi hivyo kuwafanya kukosa balansi ya kutembea kwa miguu peke yake.Aidha bado haijajulikana tiba ya tatizo hilo la kimwili ambalo sio la kawaida.
 
Inawezekana wakawa wanateseka?? Sio kwamba wamezoea kiasi cha kuona ni kawaida??
 
View attachment 1055800
Hii ni Familia inayopatikana nchini Uturuki ambayo hutembea kwa kutumia miguu na mikono kwa pamoja tofauti na Watu wengine, Wanasayansi wanadai Familia hii inasumbuliwa na tatizo linalowafanya wakose balansi wakitembea kwa miguu peke yake hivyo kuwalazimu kutumia na mikono.
View attachment 1055802
Inaelezwa kuwa familia hiyo ina Watoto watano wenye tatizo hilo na iligunduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2005 na cha kushangaza zaidi ni kwamba Wazazi wa Watoto hao hawana kabisa tatizo hilo hivyo wao hutembea kawaida kama Binadamu wengine.
View attachment 1055803
Wanasayansi wanasema tatizo hilo hushambulia sehemu ya ubongo inayohimili balansi hivyo kuwafanya kukosa balansi ya kutembea kwa miguu peke yake.Aidha bado haijajulikana tiba ya tatizo hilo la kimwili ambalo sio la kawaida.
Watalamu wameweza kujua tatizo la ugonjwa huu.
http://sciencenordic.com/mystery-solved-why-turkish-family-walks-all-fours
 
Daah MUNGU ni mwema sna!
Tumshukuru kwa yote!
Leo hauna pesa wala elimu lakini uko na afya njema!
Una pesa na una afya mgogoro!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanikumbusha aliyekuwa Bosi wangu kwa miaka 17! Alikuja bongo toka SA kuganga mara uwindaji, mara ujenzi. Akakomalia ujenzi ukamtoa kimaisha hadi kupata uwezo wa kununua Hotel uholanzi! Sasa hv yupo kitandani mwaka wa pili huu hawezi kukaa kongosho zimekauka grisi!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom