Nashauri Walimu wa Tanzania kuanzia Kesho wawe wanakuwa hivi wawapo Madarasani huko Mashuleni Kwao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,553
108,891
1. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka Kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wakiwa wanaingia Darasani wao sasa ndiyo Wawe wanawasalimia Wanafunzi Shikamoo.

2. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka Kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wakiwa Darasani wakimuona Mwanafunzi anafanya Fujo wawe wanamuacha hawampigi na badala yake wamchukue waende Kumnunulia Chips, Kuku na Soda.

3. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka Kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wakiwa Darasani wakisikia Mwanafunzi mmoja labda amejamba na Sauti ya Mjambo ikasikika na Harufu Kali ya Kijambo ikaanza Kutiririka na Kuserereka humo Darasani wakishamjua huyo Mwanafunzi wawe wanampigia Makofi mengi ya Kumpongeza na ikibidi hata wampe na Alama ( Marks ) za bure,

4. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka Kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wakiona Mwanafunzi kafanya Kosa basi badala ya Wao Kumchapa huyo Mwanafunzi wao ( Walimu ) ndiyo walale chini ili wachapwe Viboko na hao Wanafunzi.

5. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wakiwaona Wanafunzi wanafanya Ngono wasiwashtue au wasiwaadhibu bali wahakikishe tu wanawauliza kama wameishiwa ' Condom ' au wanatinduana / wanatiana ' Kavu Kavu / Minyama Ndani Minyama Nje '.

6. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wanapokuwa Maofisini mwao wakiwa wanakula Vyakula vyao basi kila Mwalimu awaite Wanafunzi wa Darasa lake na wawe wanakula nao Chakula na akimaliza awanunulie hao Wanafunzi wote Maji ya Kandoro.

7. Walimu wote Tanzania ili Kuepuka kuanza Maisha mapya Kaburini kama Mwenzao wahakikishe kila wanapokuwa wanasahihisha Mitihani ya hao Wanafunzi wawe wanakuwa nao na wahakikishe wanamuuliza Kila Mwanafunzi kuwa wanataka alama A au B katika matokeo yao?

Nawasilisha.
 
Mambo ambayo unaandika sijui una umri gani... Unaandika mambo ya kitoto sana. Mi nakupa tu ukweli jamaa wanakustahi au wanakushangilia kinafiki hawakujengi hili ni jukwaa serious andika mambo yenye akili.why hupendi kabisa kutumia akili? Au kuna mtu alikwambia you are so funny? Alikudanganya

images (41).jpeg
 
Mkuu gentamycine Kuna sehemu nyingine watoto wanateseka ila INAKUWA ngumu kuleta USHAHIDI wa matukio.hivi unaweza kukubali mwanao apewe adhabu ya KUBEBA ndoo 20 za mawe(hardcore's) au 20 za mchanga na kichapo juuk kisa kachelewa kuingia darasani saa 12 kamili badala yake ameingia saa 12.20 asubuhi?ilhali MWALIMU ataingia saa 1.30 - 2.00?

Kuna wanafunzi wanaamshwa saa 10 alfajiri ujue hao hawapumziki Hadi saa 5 usiku wanapolala,RATIBA
saa10 Alfajiri waende kwenye maji km 8
Saa 12 Wawe madarasani Hadi saa 8.00
Saa Tisa mchana Shambani Hadi saa 12.30 jioni
Saa 12.30- saa 1.00 usiku chakula Cha usiku
Saa 1.00- saa 2.00 kipindi Cha dini
Saa 2.00 -4.00 usk prep
Sasa toka saa 4.00 atoje darasani Hadi anapo pitiwa usingizi Ni tayari saa 5 au na zaidi
NINAJUA WATOTO WANSTAHILI ADHABU LAKINI SI KWA KUWA UMIZA
Mimi Nina amini kuwa KUPIGA SI KUFUNZA KWANI WATOTO WENGI WANAFELI MASOMO YA WALIMU MAKATILI

N:B wakati watoto wanaingia darasani saa 12.00 Mwakimu anaingia saa 1.30 - 2.00
 
sure
Mambo ambayo unaandika sijui una umri gani... Unaandika mambo ya kitoto sana. Mi nakupa tu ukweli jamaa wanakustahi au wanakushangilia kinafiki hawakujengi hili ni jukwaa serious andika mambo yenye akili.why hupendi kabisa kutumia akili? Au kuna mtu alikwambia you are so funny? Alikudanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu ni wito kama Dr Nurse, kama mtu hawezi anatafuta kazi nyingine, hata uaskari sugu nao ni kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ualimu ilikua wito zamani sasa hivi ni kazi kama kazi zingineeee yani waalimu wanaonewa sana matoto yakifeli wanapewa demotion, matoto yakifaulu sana wanapewa demotion, matoto yakiwa matukutu yakianza kuadhibitiwa na shetani naye anapita hapo hapo
 
Mambo ambayo unaandika sijui una umri gani... Unaandika mambo ya kitoto sana. Mi nakupa tu ukweli jamaa wanakustahi au wanakushangilia kinafiki hawakujengi hili ni jukwaa serious andika mambo yenye akili.why hupendi kabisa kutumia akili? Au kuna mtu alikwambia you are so funny? Alikudanganya

Ni Mpumbavu mmoja tu Wewe ndiye mpaka leo hujajua ' style ' yangu ya ' Uwasilishaji ' hapa Jamvini na ndiyo maana ' unasumbuka ' na Kuumia na Mimi. Unapomshangaa leo GENTAMYCINE kwa aina ' Uwasilishaji ' wake wa Masuala ( Issues ) hapa mbona hushangai na hujiulizi ni kwanini ' Katuni ' mbalimbali kama za akina Masoud Kipanya hamzishangai? Uwasilishaji wangu wa maandishi na ule wa Picha una tofauti gani? Pumbavu mkubwa Wewe.

Katika Tasnia kila Mtu hupenda kuchukua upande wake ambao ndiyo itakuwa ' identity ' yake Kiuwasilishaji na Mimi GENTAMYCINE upande wangu niliochagua ni huo wa Kuwasilisha jambo au suala au sakata kwa njia ya ' Kiutani ' au ' Kikomedi ' huku nikiweka ' Vibwagizo ' vya hapa na pale katika ' Kuinogesha ' ili mradi tu yule ambaye atasoma Kwanza asiboreke lakini pia awe anapata Ujumbe murua kwa kuburudka. Pumbavu.

Na Kiufundi kabisa hii inaitwa KISS ( Keep It Simple but Stupid ) ila kwa Mpumbavu kama Wewe uliyejawa na Chuki na GENTAMYCINE ndiyo leo unajifanya kuja kutoa ' DukuDuku ' lako hapa utadhani nimekushikia Jiwe kubwa la FATUMA kukutaka uwe unasoma ' Threads ' zangu. Pumbavu.

Nakuomba pitia ' threads ' zangu zote utaona zimekaa kama vile Kitoto ila kwa Wenye ' IQ ' kubwa huwa wananielewa haraka sana na dhamira ya Ujumbe wangu huwa inafika upesi kule ambako nakutaka. Katika huu ' Uzi ' ukiwa Mpumbavu uliyetukuka kama Wewe unaweza ukaona nimeandia ' Utumbo ' hapa ila kwa Kukusaidia tu ni kwamba nimendika Jambo ' Fikirishi ' ambalo nina uhakika kabisa kwa aina ya Ubongo wako wa Panzi hujaelewa Kitu ila GENTAMYCINE nipo hapa JamiiForums kuwafundisheni Kufikiri Wapumbavu wachache kama Wewe na bahati nzuri sana leo umejaa mwenyewe katika ' Frame ' na sasa nakuwasha vizuri ili Siku nyingine ukae mbali na hii ' Brand and Talk of the Town ID '.

Mwisho kabisa nakusaidia kuwa 100% ya Maudhui yangu ( Content ) hapa Jamvini huwa hayatoki mbali katika maneno haya ambayo utayapata katika hii ' Signature ' yangu tukuka yasemayo " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " ila kwa aina ya Upumbavu wako uliokukomaa unadhani Watu hizi ' Signatures ' tunaziweka tu kama ' Mapambo ' au hizo Pumbu zako Kubwa kama Kungu Mbichi. Pumbavu.

Kuna Watu huwa mnanitafuta na natumai leo umenipata na bila shaka utahadithia huko uendako. Na nakutuma pia uwaambie na Wapumbavu wenzako wengine wote kuwa sitoiacha hii ' Style ' yangu ya Uwasilishaji / Uandishi hapa Jamvini labda pale nikifa / nikifariki ila najua wapo Watu tena wengi tu wanaotaka na kupenda aina yangu hii. Umeshawahi Kujiuliza ni kwanini Magazeti mengi mengi yanatofautiana hata katika ' styles ' zao za Uwandishi / Uwasilishaji? Hivi Uchambuzi wa Mwalimu Kashasha huwa ni sawa na wa Dk. Leakey? Umeshajiuliza ni kwanini Watu wengi wanampenda Dk. Leakey japo hata Mwalimu Kashasha ni mahiri pia? Wanampenda Dk. Leakey kwakuwa nje ya Kuchambua lakini pia anakupa na Vionjo ( Udambwidambwi ) kiasi kwamba Wewe msikilizaji au mtazamaji huchoki Kumsikiliza na wala huboreki pia tofauti na Mwalimu Kashasha ambaye yuko ' very serious ' na ' too technical ' pia. Pumbavu.

Nimemaliza.

Cc: maishamema, Zero IQ, Khaligraph Jordan,Jaby'z, @Rebeca 83 [/B][/FONT][/SIZE], MastaKiraka , Mina cute , Hustling
 
Back
Top Bottom