Niliwahi kusikia wanafunzi huko masekondari zamani walikuwa wanaonaga wanyama flani kama binaadamu kama mashetani sasa naomba mwnye kuwafahamu au mwenye picha ya hao vibwengu aitupie eti hata...
Mfano tungekua na 'chlorophyll' kwenye ngozi kama majani ya mimea na hivyo tuzalishe chakula chetu wenyewe ndani kwa ndani kwa kutumia nguvu ya jua yaanu 'photosynthesis', ambapo tunaunganisha Co2...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa tovuti ya 'The East African' imeelezwa kuwa taasisi ya Wagonjwa wa Saratani ya Ocean Road ilitoa taarifa za tishio la kuisha kwa dawa hizo tangu 2018
Mmoja wa maafisa...
Wote tunajua ukitoa pesa za chenji kwa kwa muuza duka kwa lengo la kumsaidia asipate shida kwa wateja.
Muuza duka lazima atoa pesa ya noti yenye thamani sawa na chenji alizopewa.
Namaanisha mh...
Nimeona baadhi ya wanaharakati wakifurahi kuwa eti wameibwaga Serikali kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kuhusu Sheria ya Huduma za Habari ya Tanzania.
Kwa ufupi ukiisoma hukumu yote...
Ukiwa ndani ya dini huwezi kuelewa hiki nachokisema maana dini inahimiza kuamini(kukubali jambo lolote unaloambiwa bila kujali uhalisia wake, wewe unatakiwa tu kuamini)
Dini imekuwepo miaka na...
Weekend iliyopita nilikuwa mji wa madini - Kahama kwa issue binafsi. Moja ya redio zinazosikika huko ni redio.moja ya dini iitwayo DIVINE FM. Sasa redio hiyo ina mwakilishi wake wa masuala ya...
Leo Vatican imetangaza rasmi kwamba Papa Francis atembelea nchi tatu za Afrika Mashariki.
Ziara hiyo itafanyika Septemba mwaka huu na nchi atakazotembelea ni Mozambique, Madagascar na Mauritius...
MKURUGENZI Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Tanzania, Michael Dunford, amesema asilimia 35 ya watoto walio chini ya miaka mitano wamedumaa kutokana na kukosa lishe bora hali inayochangiwa...
Nimepata ili wazo kutokana na uhaba mkubwa na mahitaji makubwa ya kuku wa kienyeji.
Wazo langu ili nimewaza tofauti kidogo sitafuga,sitotoreshi,wala sitazarisha kuku..
Nimefikiria kununua kuku...
Wadau wa JF naona mko poa.
Mada ni kama inavyoonekana hapo juu.
Mimi mwenyewe ni mhanga wa hii kitu. Kuna kipindi flani nilifumania vipesa flani mahali nikaangalia fasta fasta kitu gani naweza...
Toka Serikali ya awamu ya tano ya Mh Rais Magufuli imeingia madarakani November mwaka 2015 tunaona mambo mengi yakifanyika hasa miradi mikubwa ambayo inazalisha ajira lukuki kwa watanzania lakin...
Habari kutoka Magazetini Leo.
Sina access na gazeti hili na namna ya kuileta habari kamili humu ndani. Najua wajuvi wataileta.
Ila najiuliza hawa mafisadi wawili ni kina nani haswa. Kila kona ya...
Karibu watanzania wenzangu tujadili swala la waganga wa jadi kuwepo kwao Na madhara ya kutokuwepo kwao.
Lengo kuu la Uzi huu ni kusoma nyakati kwa nini Tanzania kama ikafuta Na kupiga marufuku...
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ngazi wilayani Lushoto, akiwa katika ziara ya kazi, leo Machi 28, 2019. Naibu Waziri amesisitiza kuwa gharama za...
Serikali imepiga marufuka kazi ya kuchimba udongo wa kutengeneza majiko ya mkaa katika eneo la milima ya Mabumbani mtaa wa Tambukareli jijini Mwanza baada ya mchimbaji mmoja, Ndawala Ndobo...
Hivi serikali iko wapi? kwanini tunapinga mikataba feki lakini bado inaendelea kuexist ndani ya nchi hii hii no ambapo tulipata habari kuwa baadhi ya ving'amuzi kuwa vimeamua kufungia baadhi ya...
Kwanza nitoe pongezi kubwa sana kwa rubani wa ndege ya ATC No. TC103. Huyu rubani mzungu ameonesha yeye sio risk taker. Hii ndege imeshindwa kutake off mara mbili na akaamua kuirudisha kwenye...
Wajuvi wa mambo karibuni mtufumbue mambo katika hili, maana ni juzi(ijumaa) tu hapa waumini wa hiyo dini katika maeneo mbalimbali walifanya maombi maalumu ya kuomba mvua, na hii leo katika maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.