Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar za leo ndugu wanabodi, Nimeona ni vema tuhabarishane machache yanayoendelea huku nilipo (kwenye wilaya moja hapa jijini Mwanza) IPO HIVI;kila mwaka huku kwetu kwenye wilaya fulani hapa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Awali ya yote nichukue fulsa hii kumshukuru Mungu kwa uzima na kutuletea Rais Magufuli maana sasa Nchi inakwenda mbele. Mh Rais nimeshaeleza mambo mengi ambayo umefanya toka wananchi...
1 Reactions
0 Replies
941 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema kuwa kuna watu wamejipanga kuvuruga amani ya Zanzibar na kuvuruga amani ya Tanzania watakamatwa mmoja mmoja kama Kuku. Waziri Lugola amesema...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni kawaida panapokuwa na matukio ya kitaifa ya kisiasa viongozi wetu wa dini hukusanyika pamoja na wanasiasa na kufanya dua. Sasa watanzania wote tunajua kuwa Maji ni uhai na kwamba katika maeneo...
8 Reactions
93 Replies
9K Views
Salaam, Nimejaribu kuuliza kwa watu wanaonizunguka wananiambia mmea huu unaitwa mlenda na wengine huutumia kama mboga ya majani. Je, Kuna jina tofauti na hilo kwa kiswahili rasmi ama kwa...
0 Reactions
75 Replies
13K Views
Waziri wa Madini, Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PRNG Minerals Ltd, ya Marekani, Rocky Smith na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Kampuni hiyo Lucas Stanfield...
0 Reactions
1 Replies
753 Views
Kwako Kamanda Diwani Athuman, naamini ulisikiliza hotuba ya Mpendwa wetu Boss wako juzi Wakati alipowaalika Taifa Stars na Mwakinyo kula nae msosi. Katika mazungumzo Yake yote, lipo Moja lilinipa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mungu ni mwema hata ametuwezesha kuuona mwaka 2016, tuombeane heri katika mwaka huu. Hii ni topic yangu ya kwanza mwaka huu, naomba twende pamoja Kwenye hizi mada za uchawi ushirikina kumekuwa...
10 Reactions
103 Replies
17K Views
Jeshi la polisi wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, limewakamata viongozi 11 wa chama cha ushirika cha Mjimwema kilichopo katika kijiji cha Likusanguse wilayani humo kwa tuhuma za kuchezea mizani na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajanvi,card yangu ya crdb niliomba iwezeshwe kufanya manunuzi online na baada ya siku moja wakanitumia access code ligo9738, lkn nimefikia hatua hii nimekwama maana wanataka nijaze...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Lepeli Mandero (20) ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayedaiwa kuwa askari wa Jeshi la Magereza baada ya kuingiza mifugo kwenye shamba la gereza la Mbigiri lililopo wilaya ya Kilosa mkoani...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
guest-1793102819
Morogoro maeneo ya dumila kwa sasa mvua ni kibwa sana tujuzane na maeneo mengine!! Baada ya mashekhe kuomba au walijua inakaribia.... Au ndo nabii hakubalik kwao
7 Reactions
62 Replies
9K Views
Habarini za hapa!! Nimezunguka maeneo mbalimbali ya nchi yetu,jua ni kali. Jua linawaka la kutosha. Hali hii ikiendelea hivi,ni wazi kua nchi yetu itakabiliwa na uhaba mkubwa sana wa chakula...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
NA ANDREW MHAIKI, SONGEA WATU wawili mkoani Ruvuma wamefariki dunia baada ya kunywa pombe aina ya gongo ambayo ilikuwa ikihofiwa kuwa na sumu wilayani Tunduru. Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu! Moja kwa moja kwenye mada. Moja ya wanawake ambaye taifa la Israel halitakaa limsahau. Mwanamke ambaye Israel ilichezea kichapo kitakatifu na kudhalilika vibaya mno. Mwanamke...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza Naomba kuuliza huu ni utaratibu sahihi kwa chuo hasa hivi vilivyosajiliwa na VETA hasa vile vinavyofundisha masomo ya hotel na utalii kila chuo kinapofungwa mwanachuo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WIZARA wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema itahakikisha inashirikiana na nchi nyingine ili kumpata Magreth Gonzaga aliyetoroka nchini Tanzania na kutokana na tuhuma...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakulima wenye hasira wamemfungia katibu wa Chama cha ushirika cha Msingi cha Mivanga baada ya kuweka ubaoni orodha ya wakulima ambao wamelipwa pesa zao za korosho. Kilichoibua hasira za wakulima...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Kama kweli tuna nia njema na Taifa hili, Kama kweli tunataka kulitendea haki Taifa hili, Kama kweli sisi ni Wazalendo wa kweli, Kama tuna tanguliza Uzalendo wa...
1 Reactions
0 Replies
798 Views
Ndugu wana JF, naomba kuelekezwa zilipo ofisi za PSSSF, kwa wilaya ya Temeke, au kwa Mkoa wa DSM. Najua humu ndani kuna wanaozifaham zilipo na nitaelekezwa. Ahsanteni. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Back
Top Bottom