Habarini za hapa!!
Nimezunguka maeneo mbalimbali ya nchi yetu,jua ni kali. Jua linawaka la kutosha.
Hali hii ikiendelea hivi,ni wazi kua nchi yetu itakabiliwa na uhaba mkubwa sana wa chakula mwakani.
Mwaka 2018,nchi yetu iliapata neema ya kupata mavuno mengi sana,ila kwa hali ilivyosasa,na kama itaendelea hivi,serikali ijiandae kuwahudumia mamilioni ya watanzania watakaokabiliwa na njaa.
Mungu aepushie mbali.