Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
Awali ya yote nichukue fulsa hii kumshukuru Mungu kwa uzima na kutuletea Rais Magufuli maana sasa Nchi inakwenda mbele.
Mh Rais nimeshaeleza mambo mengi ambayo umefanya toka wananchi walipokupigia kura zao mwaka 2015
Leo kwa heshima kubwa naomba nichangie mambo mawili ambayo ni ya Kitaifa na afya kwa ustawi wa Taifa.
Mh Rais Rais hivi karibuni ulikaa na wadau wote wa secta ya madini kujadili tatizo lililopo ambalo limekuwa kero kubwa sana kiasi kwamba tunapoteza mapato mengi kwenye hii secta
Nilifurai kuona yale yote ya msingi ambayo ni kikwazo uliyabeba na kuyafanyia kazi na sasa mambo yanaenda vizuri.
Leo Mh Rais naomba sasa baada ya secta ya madini sasa tuingie tena kwenye mjadala mwingine wa Kilimo,Tukae na wadau wote wa secta ya Kilimo tujadili kwa upana ili sasa Kilimo ambacho kinaajili Watanzania zaidi 70% nacho kipatiwe ufumbuzi ambapo serikali nayo itapata mapato nazaidi sana watanzania wengi wa secta hii nao watakuwa wamejikwamua na umaskini.
La pili Mh Rais tukimaliza kilimo tuingie kwenye secta ya Utalii Nchini,tunaambiwa Tanzania Nchi ya kwanza Barani Africa yenye vivutio vya utalii lakini kwa mwaka tunapata watalii million mbili tu.Misri wenzetu wanapata mpaka watalii million kumi kwa mwaka
Naamini na hii secta nao tukikaa na wadau wote wa Utalii tutapata ufumbuzi na hatimaye tutapata watalii wengi zaidi na hii secta itachangia pato kubwa la Taifa.
Hayo tu Mh Rais naomba tuyafanyie kazi na Mungu akubariki sana
Alex 0758 308494 maoni na ushauri na sio matusi
Sent using Jamii Forums mobile app