Habari wanajanvi,card yangu ya crdb niliomba iwezeshwe kufanya manunuzi online na baada ya siku moja wakanitumia access code ligo9738, lkn nimefikia hatua hii nimekwama maana wanataka nijaze account number na access code kama picha inavyoeleza,najazaje hapa?