G
guest-1793102819
Guest
Morogoro maeneo ya dumila kwa sasa mvua ni kibwa sana tujuzane na maeneo mengine!! Baada ya mashekhe kuomba au walijua inakaribia.... Au ndo nabii hakubalik kwao
Ukiwa mjinga na mpumbavu lazima uwakubali mashehe. Hivi msimu wa mvua mtu anaomba mvua inyeshe na kuna wapumbavu wanaamini kaleta mvua. Kweli wajinga ndio waliwao. Waombe na msimu wa kiangazi inyeshe mvua.Morogoro maeneo ya dumila kwa sasa mvua ni kibwa sana tujuzane na maeneo mengine!! Baada ya mashekhe kuomba au walijua inakaribia.... Au ndo nabii hakubalik kwao
Acha uongo Rome eneo gani
Dar Es Salaam mvua kama yoteeee mawingu mazito balaa
Heee me nkajua upo socialWengine zinanyesha mvua Hadi za barafu...ukifua nguo kukauka Ni wiki nzima
A blessed region#greencity
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vzr tukatafutana bana nipo mitaa ya sowetoWengine zinanyesha mvua Hadi za barafu...ukifua nguo kukauka Ni wiki nzima
A blessed region#greencity
Sent using Jamii Forums mobile app