Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,288
- 5,519
Salaam,
Nimejaribu kuuliza kwa watu wanaonizunguka wananiambia mmea huu unaitwa mlenda na wengine huutumia kama mboga ya majani.
Je, Kuna jina tofauti na hilo kwa kiswahili rasmi ama kwa kiingereza.
Naomba msaada katika hilo.
.
Dhamira kuu ni kupata scientific name na mengine kuhusiana na huu mlenda kama unavyojulikana.
Ninatazamia kufanya utafiti kuhusu mmea huu.
Update
-------------------------------------------------------------------------------------------
Asanteni wote kwa michango mbalimbali, Nimefanikiwa kupitia miongozo yenu katika uzi huu.
Kuna aina mbalimbali za milenda nimeitambua kutokana na maoni ya wadau.
1. Kuna mlenda wima (Sesamum angolense)
2. Kuna mlenda Mbata (Sesamum calycinum)
3. Mlenda (False sesame) ---- Ceratotheca sesamoides)
Sent using Jamii Forums mobile app