monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,645
Habar za leo ndugu wanabodi,
Nimeona ni vema tuhabarishane machache yanayoendelea huku nilipo (kwenye wilaya moja hapa jijini Mwanza)
IPO HIVI;kila mwaka huku kwetu kwenye wilaya fulani hapa jijini Mwanza (Wilaya ya Mwanzo kabla hujaingia Buhongwa) huwa tunachangishwa michango ya mwenge, mwaka 2017 na 2018 tulichanga kama utaratibu ulivyo miaka yote ambapo walimu wakuu walichangishwa Tsh 5,000/= kwa kila mmoja na walimu wa kawaida walichangishwa Tsh 2,000/=
Sikufuatilia watumishi wa kada nyingine kwa miaka hiyo japo najua na wao walichangishwa kwa lazima
MWAKA HUU UTARATIBU UKO HIVI;kila mwalimu mkuu anachangishwa Tsh 20,000/=
Kila mratibu elimu kata anachangishwa Tsh 50,000/=
Kila Afisa aliyepo halmashauri (kwenye ofisi za halmashaur kwenye upande wa elimu) anachangishwa Tsh 75,000/=
Kila mtendaji wa kijiji (veo) anachangishwa Tsh 100,000/=
Sijajua madiwani,wenyeviti wa vijiji na vitongoji wanachangishwa Shilingi ngapi
Ninyi chama cha mapinduzi kila siku huwa mnahubiri usawa (equality) majukwaani je,huo ndio usawa wenyewe?
Je,mwenge huwa hauandaliwi bajeti yake?
Kama fedha za kuukimbiza mwenge kwenye wilaya yetu huwa hazitengwi na serikali kwanini mnalazimisha kuuleta kwenye wilaya yetu ilhali serikali haijatoa fedha za kuukimbiza mwenge kwenye wilaya yetu?
Ninyi chama cha majambazi (ccm) kwanini mnatudharau sana Watanzania wenzenu?
Huu ni mwaka wa tano hamja tupandisha madaraja lakn mnataka sisi tuchangie bajeti ya mwenge tena kwa lazma siyo hiari
Kama mlivyoacha kunyonya matiti ya mama zenu basi tabia hii ya kutuchangisha kwaajili ya mwenge pia muiache mara moja
Vilevile,pamekuwepo na tabia ya kuwalazimisha walimu kusimama kandokando ya barabara pindi mwenge unapopita je,huwa hamuwaoni watumishi wa kada nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app