Tabia ya kurithishana majina.

Tabia ya kurithishana majina.

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
629
Habari wadau!! Hii tabia imekuwa unanikera mfano mtu anaitwa juma ana watoto 5 basi kila mtoto akizaa mtoto anatakiwa mzae jina la babu yake (juma) mtoto mmoja wapo utafikiri majina yameisha vilee. Au jina la shangazi yake au mama yake mdogo au mjomba yake... tujifunze kutafuta majina mapya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm watot wangu nimewapa majina yangu nnayoyapenda mwenywe
Yote ni madume nafanya mpango nikomae nioate wa kike nifunge kuzaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe Mfano wa jina Jipya, Ni lazima liwe la kizalendo au hata la Wakoloni?
 
shida inakuja unarithi jina mpaka tabia,halafu naskia kuwa vakurithi vinazidi.
 
kweli kero zimekwisha kama na hii ni kero
 
Back
Top Bottom