sanshinda
Member
- Sep 25, 2017
- 79
- 33
Sio jambo la kawaida kwa kiongozi kutekeleza ahadi baada ya kuondoka kwenye nafasi yake. Huyu ameonyesha uzalendo na upendo wa hali ya juu. Viongozi wengine wanalo la kujifunza kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app