Kuchakuro Ps
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 443
- 525
Haiwezekani, pamoja na changamoto kubwa ya ajira unawaona walioko Maofisini hawawajibiki ipasavyo.
Unakwenda ofisini unamueleza muhusika shida yako yeye yuko mbaaaali, anaitika Mara mbilimbili unasemaje?
Anabembea kwenye kiti, Mara ajizungushe huku Mara huku katoa macho tu!
Baadae ndo anakuja kwa dharau, eee ulikuwa unasema?
Mnakera!!!
Hapa kazi tu, haiwezi kutajwa midomoni peke yake. Tufanye kwa vitendo.
Kwenye hili na Ishauri serikali iunde kikosi kazi Cha Binadamu kufuatilia uwajibikaji Maofisini, ili wanaobainika kutowajibika wapewe onyo Kali na kwamba Kama wataendeleza upuuzi huo watafukuzwa kazi.
Haiingii akilini watu wazurura na jua huko kutembeza barua huku na kule wewe umekaa hapo hutaki kuwajibika ipasavyo, ebooooo!!!