Ingekuaje hili tukio lingetokea kipindi hiki

Ingekuaje hili tukio lingetokea kipindi hiki

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,315
Leo nimetafakari tukio lilitokeaga kipindi cha kikwete, Kipindi hiko Rais anaziara ya kikazi mikoa ya kaskazini msafara ukafika kwenye kituo kimoja cha mafuta cha tajiri mmoja wa.kichaga ambae hivi sasa maduka yake ya kubadilisha fedha za kigeni yamefungiwa, wakati wanaweka mafuta wakati wa kuondoka gari ya ikulu ikagoma kuwaka ndipo neno KUCHAKACHUA lilipoanzia, kituo kile cha mafuta kilifungiwa miezi 6 kama adhabu na ndipo mafuta ya taa yakapandishwa bei ili kuzuia uchakachuaji wa mafuta ya petroli na diesel. Najiuliza ingekua awamu hii ingekuaje hicho kituo cha mafuta
 
Back
Top Bottom