Naomba mwenye uzoefu na hii BANK OF AFRICA

SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
2,326
2,924
Nataka kuhamisha mkopo wangu toka crdb kwenda boa ambao wanatangaza kukopesha kwa 9% tu... Naomba uzoefu wenu kabla sijafanya maamuzi.. Mikopo yao iko vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benki ninayovutiwa nayo Sana toka nijiunge nayo 2010..

Hela hazikatwi hovyo hovyo!

Naipenda BOA Bank Tanzania maeneo ya Metropole Arusha kinjia Cha Kuingilia Kanisa Moja Takatifu Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu.
 
Nataka kuhamisha mkopo wangu toka crdb kwenda boa ambao wanatangaza kukopesha kwa 9% tu... Naomba uzoefu wenu kabla sijafanya maamuzi.. Mikopo yao iko vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hiyo riba nchi nzima, uwe makini sana watu wa bank wakati mwingine wanakupa taarifa nusu nusu, pia Formula za riba ni nyingi isije ikawa ni 9% Reducing balance ambayo inaweza kuwa sawa na 17% ya mikopo ya kawaida kama overdraft.
kwa hiyo anajua akikuambia 9% atakumamata kumbe ni ile ile unayoikimbia 17% kwa lugha nyingine
 
Well said.
 
Hiyo itakuwa ni fixed rate. Reducing balance ndiyo hiyo 18 to 17.
 
Bank karibia zote lugha ya biashara zinafanana...fanya uchunguzi unakimbia nini unafuata nini usije kuwa unalewa na matangazo ila makato yaleyale.
 
Hakuna hiyo riba nchi nzima, uwe makini sana watu wa bank wakati mwingine wanakupa taarifa nusu nusu, pia Formula za riba ni nyingi isije ikawa ni 9% Reducing balance ambayo inaweza kuwa sawa na 17% ya mikopo ya kawaida kama overdraft.
kwa hiyo anajua akikuambia 9% atakumamata kumbe ni ile ile unayoikimbia 17% kwa lugha nyingine
Ni straight balance ndio makato yanakuwa makubwa ila reducing balance yanakuws madogo.
Mfano ni mkopo wa sh 10,000/ kwa mfumo wa straight balance inakuwa 10,000*9/100= 900/ hii ni rejesho la kila mwezi hadi mwisho wa mkopo
Wakati kwa mfumo wa reducing balance
Inakuwa 10,000*9/100= 900/
Kwa mwezi wa pili inakuwa 10,000-900=9,100/ then mkopo unapigwa 9100*9/100=819/ hivyo formula ya pili inapigwa kwa deni halisi ulilinalo na sio ulilokopa awali

shukran kwa kufafanua that means kwa maelezo yako hiyo 9% ni monthly interest rate, Je annually Interest rate itakuwa ngapi ? na kibiashara bank inapaswa kumtangazia mteja kwa annual rates not otherwise
 
No. 9% Ni annual interest siyo monthly. Mbona itakuwa juu sana kama hiyo ni kwa mwezi?
 
Hiyo sijawahi kukuiona au kuipata tanzania, kwa lugha nyingine labda iwe ni effective Interest rate 9% SIO Nominal(stated) Interest rate ambayo ndio Price ya kuitangaza kwa mteja , kama ndivyo basi hiyo lazima itakuwa 17% zipo calculation zake kuipata
 
Nimekuelewa. Ila matangazo yao yanasema ni 9% Yawezekana kuna kitu hakijakaa sawa.
 
Bank karibia zote lugha ya biashara zinafanana...fanya uchunguzi unakimbia nini unafuata nini usije kuwa unalewa na matangazo ila makato yaleyale.
Mkuu nakimbia riba kubwa nafuata riba ndogo
 
Nataka kuhamisha mkopo wangu toka crdb kwenda boa ambao wanatangaza kukopesha kwa 9% tu... Naomba uzoefu wenu kabla sijafanya maamuzi.. Mikopo yao iko vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wezi haoo mkuu,nilitaka kuingia kingi nilivyoona kumbe riba halisi ni zaidi ya 17% nikatoka nduki,fuatilia equty,nafikiri wako vizuri zaido kuliko benki zote kwa sasa kwa tz
 
Back
Top Bottom