Wazanzibari nmewakubali

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
2,287
793
Hili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi.

Assadi kanifanya nikumbuke uongozi wa Mwinyi na JK hahika tulienjoy sana. hawakuwa na ushamba, mihemuko, majivuno wala visasi

Hakika 2025 tunahitaji Raisi muislamu

from a Christian Member
 
Andika pumba zako usijifiche kweny kivuli cha christianity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi.

Assadi kanifanya nikumbuke uongozi wa Mwinyi na JK hahika tulienjoy sana. hawakuwa na ushamba, mihemuko, majivuno wala visasi

Hakika 2025 tunahitaji Raisi muislamu

from a Christian Member
NO. We need a patriot. Awe mkristu au muislam no one cares!
 
Hili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi.

Assadi kanifanya nikumbuke uongozi wa Mwinyi na JK hahika tulienjoy sana. hawakuwa na ushamba, mihemuko, majivuno wala visasi

Hakika 2025 tunahitaji Raisi muislamu

from a Christian Member
Assad sio mzazibar ni mtanga
 
Hivo vineno viwili ndio vitaonekana katika thread yako
 
Wasomi waislamu wanazingatia professional ethics ni mfano wa kuigwa. Muslim professions have been side lined for far to long..Muslims must vote as a block.
Kuna Waislam kibao wana maskendo tu, mfano yule wa mama wa Takukuru aliyepelekwa mahakamani juzi...
Hizi ligi za Udini mkizianzisha nyie ndio mtakua losers mngekaa kama wengine walivyo tu, kusapoti mtu kutokana na character yake wala sio Dini
 
Back
Top Bottom