Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa za hivi punde zinaonyesha majirani zetu wamekula kinyesi, Jeshi la uhamiaji tafadhali liwe makini kwani kupata kipindu pindu ni fedheha sana. Wakazi wa mipakani pia ni vyema mkachukua...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
waungwana nauliza tu.katika sherehe nyingi mambo ya nyam nyam, maakuli ulaji misosi hua inawekwa mwisho,hivi ni kanuni,sheria,au utaratibu tu,na kwa nini ufanane,kwa nini chakula kisiwekwe mwanzo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana JF Kaitika kuishi kwangu kote na pita pita zangu zote sijawahi kuona nguvu za kike zikiwa ni jambo la kujadiliwa au tatizo ambalo linatafutiwa ufumbuzi. Kimsingi wapo wanawake ambao...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Imani za kishirikina mbaya Sana Kuna watu sitaki kuwataja kwa sababu hata siwajui lakini wamethubutu kutoka kimapenzi na mama zao wazazi ili Wapate he'll shame on you na huo utajiri wenu lakini...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Ikumbukwe kuna siku Rais alitamani malaika washuke wafunge mitandao,naam naweza kusema ifikapo may 1 asilimia 95 ya watanzania watakuwa hawana simu za mkononi tena ,watumiaji wa internet...
1 Reactions
2 Replies
559 Views
Mwaka 2016 kulitolewa sera na muongozo mpya wa elimu ya msingi. Mitaala ikabadilishwa na kutolewa maelezo kwamba elumu ya msingi itaishia darasa la 6 badala ya darasa la 7 kama zamani. Wazazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikiangalia maisha ya Mbasha ya sasa hivi na kipindi yupo na flora naona ni tofauti kabisa, kipindi Mbasha yupo na flora alikuwa ni mtu mstaharabu na mpole sana, yani alikuwa ana ni mtu mwenye...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Watu zaidi ya 150 hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu, katika mkoa wa Kivu kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. BREAKING: Boti...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu kutokana na ajenda inayotuchanganya na inayoashiria umasikini ni hii inshu ya kusajili laini kwa njia ya kisasa hasa kwa finger print na kua na kitambulisho cha utaifa wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni wazo tuu, kwa upande wangu ninafikiri kwa Kodi wananchi wanayolipa, serikali ingegawa copy ya katiba kwa Kila kaya, hi ingesaidia wananchi Kama s wote kujua Haki zao za msingi...nafikiria kwa...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Kutokana na madhara mengi ya kiafya yanayotokakana na moshi wa sigara, smoking ban iliwekwa. Ni wangapi waliwahi kuulizwa smoking or non smoking area wakati wananunua ticket ya ndege? Hii...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Natanguliza salamu zangu na shukran kwa ndugu jamaa na marafi ndani ya hili jahazi, ni muda mrefu nimejarb sana kuweza kujiunga pamoja nanyi ila sio mgeni sana nilikuw nikpta 2 na kuzisoma post...
1 Reactions
2 Replies
881 Views
Leo asubuhi nimetumiwa ujumbe mfupi na moja ya kampuni za simu (vodacom) ikiniambia "line yangu ina usajili wa awali hivyo nimezuiwa huduma mpaka niende vodashop na kitambulisho. Nachojiuliza...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Hivi km kuna Vitamini zote hizo, halafu bado mtu anakwambia eti "Usinywe ". Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais Dk. John Magufuli, leo wakati wa kuwaapisha mawaziri wapya waliobadilishana wizara, Palamagamba Kabudi na Augustine Mahiga, amegusia masuala mbalimbali katika jeshi la polisi. Amemtaja...
12 Reactions
65 Replies
19K Views
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ukiukaji wa kanuni za mipangomiji (zoning regulations) bila kudhibitiwa na mamlaka husika. 1. Kuna gereji katikati ya makazi ya watu kwa mfano sehemu tazara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maana kwa sasa hazipiti wiki 2 bila kusikia marathoni mara arusha,moshi tanga dodoma mbeya mwanza dsm ndo usichokee Ni fashion ama kuna watu wananufaika kutokana na hili swala?
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Rejea kwenye mada hapo juu, kwa ufupi ni kwamba kwa hatua tuliyofikia ndani ya Nchi hii ya kidhalimu siku nikiona kuna uhalifu unataka kufanyika katika maeneo yoyote ya Kiserikali basi...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanajamvi nahitaji kupatiwa msaada ni nini hasa nifanye kisheria kudhibiti utiririkaji wa maji taka katika eneo la makazi yangu. maji hayo yanatoka katika kambi za jeshi. Sent using Jamii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Easter Special For only $500 USD - We arrest you in front of your wife at 6pm on Friday 19th April & release you on Monday 22 April. Package includes; hotel ,food,champagne and dinner for 2...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…