Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Kipindi JF imefungiwa nilikuwa napitia sana ukimbizini kenyatalks jukwaa la jamiiforums. Kule nilikutana na wadau wanaongelea jamiiforums ya bure bila kuwa na bundle. Ebu kwa anayefahamu inakuwaje hii anipe elimu kidogo
Usije na povu ukasema napenda kitonga, nataka kufahamu tu vyuma vikigoma nizame JF bila bundle.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije na povu ukasema napenda kitonga, nataka kufahamu tu vyuma vikigoma nizame JF bila bundle.
Sent using Jamii Forums mobile app