baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,487
- 2,265
Napenda kushauri graduate wote ambao hawapo kwenye ajira rasmi za Serikali na mashirika binafsi kuwa mwakani 2020 kuna fursa kubwa ya ajira katika nafasi mbali mbali za kisiasa kama udiwani,ubunge na urais
Hivyo kama ambavyo mnajazana kwenye usaili wa ajira tena katika nafsi moja au mbili tuone kwamba hiii ni fursa kubwa yenye uwezekana was kufaulu na kupata kazi ya kuwatumikia wananchi.
Ntajisikia mwenye furaha kuona kila kata na kila jimbo wanajitokeza graduate wakutosha kugombania hizo nafasi.
Tunaimani tutapata watunga Sera wazur wanye mawazo ya sasa sio ya kizaman ya wazee wetu ambao wanahubiri kujiajiri lakin hawakuweza kufanya hivyo enzi zao.
Na mwisho natanguliza shukran zangu kwenu kwa kuwatia hamasa kua biashara inayolipa sasa hivi ni siasa tu na ni kitu rahisi sana kukifanya sababu unaongea unachojiskia na hakuna wakukuhoji na hata ukihojiwa unatoa jibu lolote.