Misitu na Nyuki
Member
- Mar 6, 2019
- 42
- 23
You know what does Forest stands for??
The abbreviation of Forest is
F - Food
Tunapata matunda, wanyama, asali, uyoga, mboga na madawa ya porini kutokana na Misitu.
O - Oxygen
Hewa safi tunayovuta inatokana na miti pamoja namimea mingine hivyo inatuwezesha kuishi.
R - Rains
Mvua za kutosha ni kutokana na uwepo wa Misitu kila kona.
E - Eco-balance
Mazingira ya asili na muingiliano wa viumbe hai na visivyo hai ni kwa msaada wa Misitu.
S - Soil conservation
Ardhi ama Udongo wenye rutuba unatokana na misitu, kwani kuzuia mmomonyoko wa udongo na upotevu wa maji pamoja na virutubisho ni kazi ya miti.
T - Timber & Non timber
Malighafi nyingi na zilizobora kwakujengea na shughuli zingine duniani zimetokana na mazao ya Misitu amabayo ni mbao na vitu vingine
Bila kusahau gundi ambazo hutumika katika viwanda vya chakula na viwanda vya kutengeneza malighafi zinginezo.
#TunzaMisituKwaMaendeleoYaTaifa
Tufuatilie twitter kupitia
@MisituNa
@ForestTanzania