Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

faru joni

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
478
733
Habarini za jioni, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunajenga familia na nchi kwa ujumla...

Kwa wale wanaouguza na kuugua nawapa pole na nawaombea kwa muumba mbingu na nchi awaponye nyote na mrejee kwenye hali nzuri ili kuendeleza majukumu yenu
.
.
Niende kwenye maada moja kwa moja
.
.
Yapata week moja na kidogo tangu nilete uzi wangu wa kuomba watanzania wanisaidie nafasi ya kazi yeyote ile
.
.
Wengi walinibeza ( nawashukuru coz ni sehemu ya maisha pia) kunitolea kauli chafu na wengine walinitia moyo (nawashukuru pia)
.
.
Ndugu zangu, watanzania wenzangu nakuja tena mbele yenu naombeni mnisaidie sehemu yeyote ya kujishkiza au nafasi yeyote ya kazi nipo chini ya miguu yenu
.
.
Nimefanya sana application pasipo mafanikio yeyote yale
.
.
Mpaka nahisi kukata kabisa tamaa na aya maisha...
.
.
Kila siku naamini labda zamu yangu bado, ila ndio jua kwangu linazama maana umri nao unanitupa moon I
.
.
.
Elimu yangu: Degree ya Compute Security (Bsc in cyber security)

Napatikana: Dar es Saalam

Namba yangu ya simu: 0755-836-347

Nipo chini ya miguu yenu watanzania wenzagu aombeni msaada wenu ndugu zangu, watanzania wenzangu.

Nimechoka kulia peke yangu, naomba niwalilie ninyi ndugu zangu mnisaidie.

Asante pia kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu

Mungu awabariki sana sana.
 
Zile 26 za serikali umekosa?
 
Nimeomba pia kaka, ndio nasubiria maana ata deadline bado, deadline ni tarehe 7, jumapili ijayo...
.
.
Ila kwa sasa nipo tu, nazunguka mpaka kwenye viwanda kutafuta kibarua ila naambulia patupu (naambiwa nafasi zimejaa)
 
Pole sana ndugu yangu,Mungu atakupa kwa wakati siyo kwamba kutopata kwako una ugomvi nae hapana ila atakupa wakati wake ukifika usikate tamaa.

Mnaoandika post zinazowanyanyapaa hawa vijana wanaohangaika kutafuta ajira ktk nchi hii isiyokuwa na viongozi wenye vision ya kutengeneza ajira mpya ifikirieni hatma yenu,hapana mtu dunia hii anayetaka kudhalilika ila ni hali inalazimu wafanye hivi kibao kisije kuwageukia maana kupewa wewe siyo kwamba ni bora sana kuliko wale waliokosa ila huo ni mtego wa je unaitumiaje nafasi hiyo uliyopewa?so jiangalieni msije mkajitengenezea laana mbaya.

Kwa tulio mitaani hali ni mbaya hakuna asiyejua ila tunadumu kwa sababu tuna uzoefu,pesa hakuna,wakumsaidia mwenzake hakuna sasa hawa madogo wanaomaliza vyuo na ndoto kubwa za kupata ajira nzuri wakiingia huku vichwa vinawapasuka mie nadhani serikali ijenge hospital kila mkoa kwa ajili ya kuhudumia wale watakaoshindwa kuendana na kasi ya mtaa na kurukwa na akili.

Dogo kaza buti wewe ndo maisha bila wewe hakuna maisha juu yako muhimu uvumilivu uchukue nafasi yake ktk kuhangaika kwako.
Good luck!
 
Pole sana ndugu yangu,Mungu atakupa kwa wakati siyo kwamba kutopata kwako una ugomvi nae hapana ila atakupa wakati wake ukifika usikate tamaa.

Mnaoandika post zinazowanyanyapaa hawa vijana wanaohangaika kutafuta ajira ktk nchi hii isiyokuwa na viongozi wenye vision ya kutengeneza ajira mpya ifikirieni hatma yenu,hapana mtu dunia hii anayetaka kudhalilika ila ni hali inalazimu wafanye hivi kibao kisije kuwageukia maana kupewa wewe siyo kwamba ni bora sana kuliko wale waliokosa ila huo ni mtego wa je unaitumiaje nafasi hiyo uliyopewa?so jiangalieni msije mkajitengenezea laana mbaya.

Kwa tulio mitaani hali ni mbaya ila tunadumu kwa sababu tuna uzoefu,pesa hakuna,wakumsaidia mwenzake hakuna sasa hawa madogo wanaomaliza vyuo na ndoto kubwa za kupata ajira nzuri wakiingia huku vichwa vinawapasuka mie nadhani serikali ijenge hospital kila mkoa kwa ajili ya kuhudumia wale watakaoshindwa kuendana na kasi ya mtaa na kurukwa na akili.

Dogo kaza buti wewe ndo maisha bila wewe hakuna maisha juu yako muhimu uvumilivu uchukue nafasi yake ktk kuhangaika kwako.
Good luck!
Asante mkuu..nimesoma andiko lako neno kwa neno na mstari kwa mstari, mungu akubariki sana
 
Back
Top Bottom