Msimamo : Sitashiriki Ibada ya Ijumaa Kuu na wanasiasa wanafiki waliojaa roho mbaya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,518
217,784
Naweka wazi kabisa ili nisije kulaumiwa kwa yatakayotokea kanisani baadaye , kumcha Mwenyezi Mungu ni pamoja na kuukataa unafiki hadharani , ikitokea Wanasiasa wenye makandokando yanayofahamika wakaingia kwenye kanisa nitakalokuwemo leo NITAJIONDOKEA ZANGU , sitaweza kuinajisi ibada takatifu ya Ijumaa Kuu.

Damu ya Bwana Yesu ilimwagika msalabani kwa lengo la kuwakomboa wenye dhambi , ni damu ya thamani kubwa , ni damu inayosafisha , ni damu Takatifu , Kushiriki Ibada Takatifu kama hii na watu wauwaji , watekaji , wenye roho mbaya ya kishetani ni sawa na kuipaka kinyesi Misa hii Takatifu iliyojaa upendo wa Mungu.

Sitakuwa miongoni mwa Wasaliti wa Mungu .

Yohana 3:16
 
Sio misa tu inayopakwa kinyesi bali ni pamoja na kanisa zima na wote waliomo, mimi sintoenda kabisa
 
Naweka wazi kabisa ili nisije kulaumiwa kwa yatakayotokea kanisani baadaye , kumcha Mwenyezi Mungu ni pamoja na kuukataa unafiki hadharani , ikitokea Wanasiasa wenye makandokando yanayofahamika wakaingia kwenye kanisa nitakalokuwemo leo NITAJIONDOKEA ZANGU , sitaweza kuinajisi ibada takatifu ya Ijumaa Kuu.

Damu ya Bwana Yesu ilimwagika msalabani kwa lengo la kuwakomboa wenye dhambi , ni damu ya thamani kubwa , ni damu inayosafisha , ni damu Takatifu , Kushiriki Ibada Takatifu kama hii na watu wauwaji , watekaji , wenye roho mbaya ya kishetani ni sawa na kuipaka kinyesi Misa hii Takatifu iliyojaa upendo wa Mungu.

Sitakuwa miongoni mwa Wasaliti wa Mungu .

Yohana 3:16
Kwenye uislamu umeshatoka?
 
POLITICS AND RELIGION ARE TWO DIFFERENT THINGS

UNAENDA MISA KA AJILI GANI KUONANA NA VIONGOZI AU SPIRITUAL BELIEF AND HEALING?

MSIMAMO WAKO BAKI NAO WEWE MWENYEWE MTAZAMO WAKO DHAIFU BAKI NAO MWENYEWE

I think kunahaja jamiiforum ku-approve threads before posted maana kuzingine hazina kicha wala miguu

#commonsenseisnotcommon
 
Back
Top Bottom