NAONA KAMA WANAFANYA COMEDY LAKINI NDIO HALI HALISI

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,880
Reaction score
8,292
Baba Diamond, Abdul Juma amefunguka ishu ya kusainiwa WCB kwenye lebo ya mtoto wake Diamond Platnumz.

Mzee juma amesema kuwa kwenye mambo ya kutafuta riziki anaweza akaajiriwa na mwanae huku akisema ukitaka cha uvunguni sharti uiname.

"Unajua kitu kama hicho hapo, ushajua kama kuna mapato fulani au kitu fulani kama vitu vyenywe vinakuwa sio vizito si unatafuta riziki bwana mtaka cha uvunguni sharti uiname," alisema Mzee Juma.
 
Duh! Siasa za maigizo
 
Back
Top Bottom