Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Wanasemaa kabla ya kuporomoka na kutengeneza ile crater mlima ngororongoro ulikuwa na Urefu wa kati ya mita 4500-5800. kilimanjaro una 5889. Kilichotokea ni kwamba Volcano ililipuka kwa mara ya pili na kusambaratisha kkilele na kuacha ilecrater/caldera .