djjonakingtz
New Member
- Nov 25, 2018
- 1
- 0
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)jaribuni kufuatilia utendaji wa kazi wa wahudumu kwa wateja mikoa ya IRINGA na MBEYA mjionee hali ilivyo upigaji unaofanywa kwa wateja wanaohitaji huduma tofauti kupitia maduka yaliyopo katika mikoa hiyo ya Iringa na Mbeya(TIGO) @tigo_tanzania JamiiForums