Miaka michache iliyopita kipindi cha pasaka kilikuwa na shamra shamra,
Watu walifanya manunuzi,matangazo ya bendi kufanya matamasha,wasanii,hoteli kuwa na special events,na mambo kama hayo!
Mwaka...
Sikuamini spika aliposema Lema amekopa 644m/=. Kwa mshahara na marupurupu yapi yanayomuwezesha kukopa kiasi hicho cha fedha? Ni ngumu kumeza. Anauejua zaidi atuelemishe.
Sent using Jamii Forums...
Bodi ya Uratibu ya Asasi za Kiraia imezifutia usajili Asasi za Kiraia 6 zikituhiwa kukiuka sheria, kanuni na kufanya kazi kinyume na Katiba ambapo uamuzi huo umefikiwa baada ya kufanyika uchunguzi...
Abdala Kitwara ndiye anayemficha Muhujumu uchumi Rashidi Malima aliyekuwa mkurugenzi wa Pride anayetafutwa na TAKUKURU. Kamficha Marekani no zake+12027250772 na za Rashidi Malima +12407142927...
Salaam
Katika maisha tunafanya mambo mengi sana kuepuka maumivu au kufunika maumivu....
Watu wanavuta sigara ili kupata faraja ingawa wanajua madhara yake....
Tunakunywa sana pombe kuepuka...
Ndugu zangu ,maendeleo hayana vyama jamani na msema kweli ni mpenzi wa Mungu,kwa heshima na taadhima naoma tusaidiane kuorodhesha majina ya viwanda 3,600 vilivyojengwa awamu ya tano tena chini ya...
Wanabodi Natumai Hamjambo,
Kuna jambo ambalo si kawaida kwa ndege zingine kuwanalo, hili naliona kwenye moja ya ndege za ATCL, ni kuhusu mlio ufananao na kukamata breki za gari barabarani wakati...
Watu 10 wote wakiwa wanaume wakazi wa vijiji tofauti vya kata ya Ruhembe wilaya ya kipolisi Ruhembe mkoani Morogoro, hawajulikani walipo baada ya kupotea kwa siku 18 sasa baada ya wananchi wa...
Habar ya asubuh ndgu wanajamvi?
Kheri ya Pasaka kwa wale wenzangu ambao tunaamini kuwa sasa tu wapya tena.
Baada ya hayo,nirejee kuwa siku ya jana nikiwa njiani kutoka Mwanza kuelekea Jiji la...
Leo usiku huu nimewahi nyumbani kuja kuangalia taarifa ya habari kwa ajiri ya kujua kiundani tukio la mbunge wa Mbeya mjini maana najua vita yake na aliekalia kiti kikuu pale bungeni lakini kwa...
Salaam kwa wote!
Nianze kwa kuwaweka vizuri wasomaji wangu kwamba mada ya leo ina lugha ya falsafa kidogo, hivyo, wasome polepole kila nukta ili kupata uelewa sahihi wa kile kinachojadiliwa...
Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.
Watu wengi awali walikuwa waking alia...
Amani ya Mola iwe juu yenu wote.
Kama ilivyo ada weekend ndo ishafika na gurudumu linaendelea kuzunguka.
Karibuni ktk uzi huu mtupie Quotes(Nukuu) za hovyo na za ajabu ambazo mmezinukuu kutoka...
Ni katika kijiji cha Kishanda. Bibi mmoja anaejulikana kama Makoleta, ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na kuchomwa moto pamoja na nyumba yake pia imechomwa.
Inadaiwa bibi huyo kamuua mtoto wa...
Habarini wana jamvi
Kuna ubaya wowote kuandikisha au kujitambulisha sehemu kwa kabila la mama ukiachana na la baba (namaanisha la baba ukalitupilia mbali)
Karibuni kwa mitazamo!!
#TCRA naombeni majibu haya kabla ya kuhitaji alama za vidole za kila mmiliki line, je technology ya kisasa imewashinda?
TCRA wamenishangaza sana, wanataka alama za vidole kwa kila mmiliki wa line...
Yaani inafikia kipindi hata 10000 ya kununua nguo inakushinda unaona Bora upotezee hamna haja ya nguo mpya.kingine tunakimbia mpaka wAnawake zetu kwa sababu hatuna Cha kuwapa hela ya kula yenyewe...
Niliwahi kuuliza kwa watu wa mradi wa dmdp kata ya Mbagala utaanza lini?,baada ya ile ahadi ya kuanza mwezi wa March 2019 kupita,ahadi ambayo ilitolewa na Afisa mradi huo Bw,Edward katika ziara ya...
Yaani sasa hivi mtangazaji anasimama mbele ya ile meza anaonekana kavaa nini kuanzia chini hadi juu wakati huo anasoma vichwa vya habari na baada ya hapo anageuka sasa (hapa kama ni wa kike lazma...