Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama

Tyupa

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
802
653
Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.

Watu wengi awali walikuwa waking alia chaneli za wanyama za nje lakini baada ya kufunguliwa hii chaneli ya kwetu watu walihamia nyumbani.Baada ya muda mfupi tayari waandaji wa vipindi vya chaneli hii wameanza kuharibu kwa kasi ya ajabu na tayari watu wameanza kurudi kwenye chaneli zao za nje.Vipindi vingi vya Safari Chaneli vinarudiwa rudiwa mno hadi inakuwa chukuzi.Kuna makabila mengi Tanzania ambayo yote yana utamaduni wao lakini nafasi hayapewi.

Mikanda ya wanyama iko mingi na mizuri mno lakini yote haioneshwi kamwe.Waandaji wanashindwa hata kumuenzi mzungu alietengeneza mkanda mashuhuri wa wanyama uliojulikana kwa jina la SERENGETI SHALL NEVER DIE.Huyu mzungu simkumbuki jina lakini katika harakati zake za kupiga picha za wanyama katika mbuga ya Serengeti kwa kutumia helicopter yake binafsi alipata ajali baada ya ndege kugongwa na mapopo na kuanguka na yeye alifarika dunia.Baada ya ndugu zake kufika toka Ulaya waliamua azikwe Tanzania na kujengewa mnara wa kumbukumbu pale pale alipoangukia na ndege yake.Mtoto wake mkubwa katika kutoa neno kwa serikali ya Tanzania alitamka neno la ajabu na la kishujaa mno.

Nanukuu alivyosema mtoto huyo, " Baba amekufa lakini Serengeti haitakufa.Alichukua mikoba ya baba yake na kumalizia kazi ya kupiga picha wanyama.Filamu yake aliita SERENGETI SHALL NOT DIE!!.Ni picha iliovutia mno watazamaji kipindi kile.Waandaji wa vipindi vya Safari Chaneli sidhani hata kama wanafahamu kumbukumbu hii muhimu na si ajabu hata nakala ya ya picha hawana.Ni aibu kufuta kumbukumbu ya jinsi hii.Nawasihi itafuteni ili vijana wa sasa waweze kujifunza kutoka kwenye mkanda huo wa kusisimua.

Kwa sasa time choke mno na na mavipindi ya kurudia yale yale kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point of Correction
Aliyekufa kwenye ajali ya ndege ni mtoto wa pili wa Bernhard Grzimek aliyekuwa anaitwa Michael Grzimek tena alipata ajali Ngorongoro Crater na ndipo alipozikwa hapo na kuna mnara hapo
Baba yake alifia German lakini majivu yake yaliletwa Tanzania yakazikwa na mwanae hapo Ngorongoro crater
 
Mtoa mada una hoja ya msingi na ulichosema ni kweli. Hii channel ni nzuri sana kwa mustakabari wa utalii ndani ya nchi yetu isipokuwa tu vipindi vyao vimekuwa ni vya kujirudia rudia sana tena ndani ya muda mfupi. Waongeze ubunifu aisee.
 
Wala hujakosea mkuu

Niliipenda kwa muda mfupi tu now napenda kuangalia chanel ya Nat geo wild
 
Jioni hii leo hii 20.04.2019 nipo na wife tumeweka tunakuta wanarudia kitu kwa mara ya 10.
Wife kasema hatagusa tena hiyo channel.
Wa tz tunajiroga wenyewe.
 
Sijui watanzania tuna tatizo gani? Why tumekosa ubunifu kiasi hiki? Hakuna kitu kinashangaza kuona wanarudia vitu vilevile kila siku hadi tumechoka na kuona ni channel isiyo na maana. Pia kuna vitu wanarusha bila kutumia taaluma. Hivi watanzania tunaweza nini?
 
Immortal.Alikufa akiwa anafanya kazi gani?Je na yule alieandaa mkanda wa Serengeti shall never die ni mwingine? Full information naweza kupakua wapi?
Point of Correction
Aliyekufa kwenye ajali ya ndege ni mtoto wa pili wa Bernhard Grzimek aliyekuwa anaitwa Michael Grzimek tena alipata ajali Ngorongoro Crater na ndipo alipozikwa hapo na kuna mnara hapo
Baba yake alifia German lakini majivu yake yaliletwa Tanzania yakazikwa na mwanae hapo Ngorongoro crater
 
Hawakujiandaa lack of creativity na wako well funded hawana fungu la research kama national geographic poor training pia nazani hawana training yoyote kuhusu mambo ya safari
Mtoa mada una hoja ya msingi na ulichosema ni kweli. Hii channel ni nzuri sana kwa mustakabari wa utalii ndani ya nchi yetu isipokuwa tu vipindi vyao vimekuwa ni vya kujirudia rudia sana tena ndani ya muda mfupi. Waongeze ubunifu aisee.
 
Mkuu ukianzisha tv channel yako sio kila video unayoweza kuinunua unairusha kwenye channel yako utakavyo, utapigwa faini mpaka na hiyo tv channel yako itapigwa mnada. Kuna process ndefu ili uweze kuonesha kazi za watu kwenye tv channel yako.hivi vitu vina copyrights.
Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.

Watu wengi awali walikuwa waking alia chaneli za wanyama za nje lakini baada ya kufunguliwa hii chaneli ya kwetu watu walihamia nyumbani.Baada ya muda mfupi tayari waandaji wa vipindi vya chaneli hii wameanza kuharibu kwa kasi ya ajabu na tayari watu wameanza kurudi kwenye chaneli zao za nje.Vipindi vingi vya Safari Chaneli vinarudiwa rudiwa mno hadi inakuwa chukuzi.Kuna makabila mengi Tanzania ambayo yote yana utamaduni wao lakini nafasi hayapewi.

Mikanda ya wanyama iko mingi na mizuri mno lakini yote haioneshwi kamwe.Waandaji wanashindwa hata kumuenzi mzungu alietengeneza mkanda mashuhuri wa wanyama uliojulikana kwa jina la SERENGETI SHALL NEVER DIE.Huyu mzungu simkumbuki jina lakini katika harakati zake za kupiga picha za wanyama katika mbuga ya Serengeti kwa kutumia helicopter yake binafsi alipata ajali baada ya ndege kugongwa na mapopo na kuanguka na yeye alifarika dunia.Baada ya ndugu zake kufika toka Ulaya waliamua azikwe Tanzania na kujengewa mnara wa kumbukumbu pale pale alipoangukia na ndege yake.Mtoto wake mkubwa katika kutoa neno kwa serikali ya Tanzania alitamka neno la ajabu na la kishujaa mno.

Nanukuu alivyosema mtoto huyo, " Baba amekufa lakini Serengeti haitakufa.Alichukua mikoba ya baba yake na kumalizia kazi ya kupiga picha wanyama.Filamu yake aliita SERENGETI SHALL NOT DIE!!.Ni picha iliovutia mno watazamaji kipindi kile.Waandaji wa vipindi vya Safari Chaneli sidhani hata kama wanafahamu kumbukumbu hii muhimu na si ajabu hata nakala ya ya picha hawana.Ni aibu kufuta kumbukumbu ya jinsi hii.Nawasihi itafuteni ili vijana wa sasa waweze kujifunza kutoka kwenye mkanda huo wa kusisimua.

Kwa sasa time choke mno na na mavipindi ya kurudia yale yale kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point of Correction
Aliyekufa kwenye ajali ya ndege ni mtoto wa pili wa Bernhard Grzimek aliyekuwa anaitwa Michael Grzimek tena alipata ajali Ngorongoro Crater na ndipo alipozikwa hapo na kuna mnara hapo
Baba yake alifia German lakini majivu yake yaliletwa Tanzania yakazikwa na mwanae hapo Ngorongoro crater
Kweli tena haikugongwa na popo, ni tai wale wala mizoga, Michael alikufa na miaka 24 tu
 
Yaani Ulitegemea channel ya Safari ifanane ma NatGeo Wild? U cant be serious!!!

TBC tu imewashinda kuboresha, sembuse TV mpya?
 
Mimi ni miongoni mwa wanaoipenda sana ila saa hivi imenichosha kila siku wanarudia kipindi hicho hicho hawana jioya siku hizi
 
Chaneli za nje karibu zote hua zinaonesha mara nyingi wanyama wa mbuga zetu mbona hatuwapigi faini wao.Na utumaduni wa makabila yetu yote tukionesha kwenye TV yetu pia tutapigwa faini? Tunayo makabila mengi Tanzania lakini hiyo chaneli imeng'ang'ani a makabila sijui matatu tu muda wote.Wahazadbe na wajukuu wa Mkwawa kila siku.
 
Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.

Watu wengi awali walikuwa waking alia chaneli za wanyama za nje lakini baada ya kufunguliwa hii chaneli ya kwetu watu walihamia nyumbani.Baada ya muda mfupi tayari waandaji wa vipindi vya chaneli hii wameanza kuharibu kwa kasi ya ajabu na tayari watu wameanza kurudi kwenye chaneli zao za nje.Vipindi vingi vya Safari Chaneli vinarudiwa rudiwa mno hadi inakuwa chukuzi.Kuna makabila mengi Tanzania ambayo yote yana utamaduni wao lakini nafasi hayapewi.

Mikanda ya wanyama iko mingi na mizuri mno lakini yote haioneshwi kamwe.Waandaji wanashindwa hata kumuenzi mzungu alietengeneza mkanda mashuhuri wa wanyama uliojulikana kwa jina la SERENGETI SHALL NEVER DIE.Huyu mzungu simkumbuki jina lakini katika harakati zake za kupiga picha za wanyama katika mbuga ya Serengeti kwa kutumia helicopter yake binafsi alipata ajali baada ya ndege kugongwa na mapopo na kuanguka na yeye alifarika dunia.Baada ya ndugu zake kufika toka Ulaya waliamua azikwe Tanzania na kujengewa mnara wa kumbukumbu pale pale alipoangukia na ndege yake.Mtoto wake mkubwa katika kutoa neno kwa serikali ya Tanzania alitamka neno la ajabu na la kishujaa mno.

Nanukuu alivyosema mtoto huyo, " Baba amekufa lakini Serengeti haitakufa.Alichukua mikoba ya baba yake na kumalizia kazi ya kupiga picha wanyama.Filamu yake aliita SERENGETI SHALL NOT DIE!!.Ni picha iliovutia mno watazamaji kipindi kile.Waandaji wa vipindi vya Safari Chaneli sidhani hata kama wanafahamu kumbukumbu hii muhimu na si ajabu hata nakala ya ya picha hawana.Ni aibu kufuta kumbukumbu ya jinsi hii.Nawasihi itafuteni ili vijana wa sasa waweze kujifunza kutoka kwenye mkanda huo wa kusisimua.

Kwa sasa time choke mno na na mavipindi ya kurudia yale yale kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app

Movie yenyewe hiyo hapo,

hao watu wanashindwa hata kudownload na kurusha hii movie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom