Wanaume 10 wapotea Morogoro

Wanaume 10 wapotea Morogoro

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,555
Reaction score
62,116
Watu 10 wote wakiwa wanaume wakazi wa vijiji tofauti vya kata ya Ruhembe wilaya ya kipolisi Ruhembe mkoani Morogoro, hawajulikani walipo baada ya kupotea kwa siku 18 sasa baada ya wananchi wa kijiji hicho kudai kuwa watu hao walikwenda kufanya shughuli za kibinadamu katika hifadhi ya taifa ya Mikumi kinyume cha sharia.

Tukio hilo la kupotea kwa watu hao limetajwa kutokea mnamo Aprili mbili mwaka huu baada ya watu hao kudaiwa kuingia kwenye hifadhi ya taifa ya mikumi na kisha kushindwa kurejea kijijini hatua iliyopelekea wananchi kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama.

Kufuatia tukio hilo imemlazimu kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Wilbroad Mutafungwa kufika katika kijiji hicho nakuongea na wananchi kisha akawataka wananchi kuwa watulivu wakati jitihada za kuwatafuta watu hao zikiendelea.

Chanzo: ITV
 
Shughuli zao za kibinadamu huwa wanafanyia hifadhi ya wanyama?

Nijuavyo mimi mamlaka ya hifadhi hairuhusu shughuli za kibinadamu.

Hawa watakuwa majangili na nadhani dawa ya majangili mnaifahamu.
 
Bora mzazi angepiga punyeto kuliko kuzaa kichaa kama wewe.
Unanifahamu hadi uanze kunidodosa.
Pumbavu kabisa.
Ujaribu kutumia matusi yenye tija siyo kila kitusi unaona kinafaa kutumiwa.

TUKANA MATUSI MAKUBWA UNAOGOPA NINI?
 
Wewe ndio bure kabisa,kwani unanifuatilia mimi ili nikupe nini?
Kama wewe ni shoga mimi sio muumini wa hizo mambo.
Watafute wadau mimi niache.
Acha kabisa kuniquote ukiona hii ID.
Wapumbavu huwa ni mahodari wa kutusi ila kwa upumbavu wako huo kama kutusi pia hujui hakika wewe ni BURE.
 
Bora mzazi angepiga punyeto kuliko kuzaa kichaa kama wewe.
Mende wa chooni wewe.
Ukome kuniquote maana ni tahira.
We mjinga na mpumbavu,kwa hizo akili zako utakuja kuolewa
 
Back
Top Bottom