Nukuu(Quote) za oyo na ajabu katika Awamu ya Tano (2015-2020)

bachelor sugu

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,678
2,000
Amani ya Mola iwe juu yenu wote.

Kama ilivyo ada weekend ndo ishafika na gurudumu linaendelea kuzunguka.

Karibuni ktk uzi huu mtupie Quotes(Nukuu) za hovyo na za ajabu ambazo mmezinukuu kutoka kwa viongozi mbalimbali wa awamu hii ya Tano toka ilipoingia madarakani.

Binafsi naanza na hii:

Muache aendelee(CAG), Nitamwita tena na safari hii itakuwa mbaya zaidi - Job Ndugai

Hebu endelezeni najua zipo nyingi mno maana hii ni awamu ya matamko.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom