Wishing you a Happy Easter 🐣

Wishing you a Happy Easter 🐣

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,439
happy_easter_from_jf.jpg


1077147
 
Barabaraa.. Nitumie fursa hii pia kuwakaribisha nyumbani kwangu wana JF mliopo Jijini Dodoma. Eneo la Ilazo Kabla ya kufika Martin Luther. Heri ya pasaka
 
Thanks kabinti nawakaribisha kilimani baada ya idara ya maji kuna white house ina maua. Karibu ila sipo mtakuta mlinzi. hahahhahaha, Mtaewa matunda mweeee.
 
Mimi na familia yangu tunawatakia heri ya kufufuka kwa bwana yesu(pasaka).Mungu awe nanyi na akafufuke katika mipango yenu mizuri na azizike hila zote za shetani dhidi yenu,m`barikiwe sana🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom