ITV asanteni sana kwa huu utaratibu mlionzisha kabla kusoma habari

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Yaani sasa hivi mtangazaji anasimama mbele ya ile meza anaonekana kavaa nini kuanzia chini hadi juu wakati huo anasoma vichwa vya habari na baada ya hapo anageuka sasa (hapa kama ni wa kike lazma uangalie kama ipo au ni flat sceen)au ana vimiguu vyembamba kama vya dada zangu wa kichaga halafu na kama ni mwaaume unaona viatu kama ka (bull)kung'arisha kiwi au kanyoosha vizuri na baada ya hapo ndo anatembea kuelekea kwenye kitu chake tayari sasa kukaa na kuanza kusoma habari kamili.

Hongereni sana nawapa kongole maana zamani tulikuwa tukiwaona kuanzia tumboni kwenda juu chini hatuoni kama kawa bukta au gaguro maana hakuonekani.

big up sana kwenu itv..
 
Yaani saa hivi mtangazaji anasima mbele ya ile meza anaonekana kavaa nini kuanzia chini hadi juu wakati huo anasoma vichwa vya habari na baada ya hapo anageuka sasa (hapa kama ni wa kike lazma uangalie kama ipo au ni flat sceen)au ana vimiguu vyembamba kama vya dada zangu wa kichaga alafu na kama ni mwaaume unaina viatu kama ka (bull)kung'arisha kiwi au kanyoosha vizuri na baada ya hapo ndo anatembea kuelekea kwenye kitu chake tayari sasa kukaa na kuanza kusoma habari kamili..
Hongereni sana nawapa kong'ole maana zamani tulikuwa tukiwaona kuanzia tumboni kwenda juu chini hatuoni kama kawa bukta au gaguro maana hakuonekani....
big uo sana kwenu itv..
Mkuu! Napendaga Sana huu wakati. Hasa akiwa Farhia Middle. Napenda Sana kumuangalia. Huwa anavutia na umbo lake matata.
 
Nilikuwa sipo mkuu nimerudi juzi tuu hapa na sina hata muda wa kukaa niangalie ile jana tuu hapa ndo nimebahatika kuangaalia


Kama haukuwepo Tanzania chukua na hii.... Taarifa ya misiba iliyoikumba Tasnia ya habari, Hatunaye R. Mutahaba na E. Kibonde. ( Walazwe Mahali Pema.)
 
Hiyo nilipata taarifa zao huko nilikokuwa ila msiba wa ruge haujaniuma kama wa kibonde niongee ukweli kutoka moyoni kwangu
Kama haukuwepo Tanzania chukua na hii.... Taarifa ya misiba iliyoikumba Tasnia ya habari, Hatunaye R. Mutahaba na E. Kibonde. ( Walazwe Mahali Pema.)
 
Back
Top Bottom