Lema kakopa shs 644m/=? Kwa vigezo vipi?

Lema kakopa shs 644m/=? Kwa vigezo vipi?

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,079
Reaction score
2,334
Sikuamini spika aliposema Lema amekopa 644m/=. Kwa mshahara na marupurupu yapi yanayomuwezesha kukopa kiasi hicho cha fedha? Ni ngumu kumeza. Anauejua zaidi atuelemishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is Tz,tunaanza kujadili mkopo wa mtu,mbona nyie mnakopa Tala na Branch na hatuwaulizi vigezo mazee!?,tukifika mahali tunajadili watu badala ya mambo ya msingi jua tumefilisika kimawazo na kimtazamo kama taifa,only taifa la watu wavivu ndio hukaa kujadiri watu,"Great minds discuss ideas but simple minds discuss people",we think small mazee,.....ndio maana miaka yote Ubungo palikua na foleni,leo kaja mchina ndani ya muda mfupi kapunguza foleni kwa 90%,just kwa kujenga ka roundabout ka muda mfupi,...tuna mambo mengi ya kujadiri kama vijana matured kwa sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukishajua vigezo, utafanya nini kwa mfano?? Mbona unaumiza akili yako kwa mambo yasiyokuhusu wewe?? Kma hela kakopa yeye, mshahara ni wake yeye, na marupurupu ni yake, wewe ni nani hasa mpk uanze kujadili..?? Unataka kutuaminisha kwamba waliomkopesha hawana akili..??

Acha wivu wa kifala wewe....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuamini spika aliposema Lema amekopa 644m/=. Kwa mshahara na marupurupu yapi yanayomuwezesha kukopa kiasi hicho cha fedha? Ni ngumu kumeza. Anauejua zaidi atuelemishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuhusu.
Mambo ya binafsi haya.

Endeleeni kuona wanasiasa kuwa ni wakombozi wenu huku "wanajikomboa" wenyewe.

Kuna siku Watanzania akili zitatukaa vizuri tu.
 
Mleta mada relax.... Lema ni mfanyabiashara na jana nilimsikia kwenye radio moja akitamba kuwa ana uwezo wa kukopa half a billion.. Pia alikiri suala la mkopo ni personal matter, so suala la Lema tumuachie Lema...
 
Ulimbukeni kujadili maisha ya mtu binafsi ,,, umaskini wa fikra kaa tulia ayakuusu haumsaidii kulipa, kula ugali wako na kabichi na maziwa mtindi lala


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom